Living the talk. Hongera sana Hussein Bashe @HusseinBashe
Katika Interview moja Zitto @zittokabwe akiwa Clouds alisema your tenure chini ya Mh Rais SSH maximized mchango wa kilimo kwa 3%% katika GDP kiwango kubwa than any other Minister to ever graced that chair in a time you proximately sat. 🫡
SI-NDOTO TENA.
Kutoka viwanja vya mpira hadi madaraja yanayounganisha maeneo, miundombinu ni sehemu muhimu ya maendeleo. Uongozi wa Rais Samia unaendelea kusisitiza uwekezaji unaolenga kuboresha huduma na fursa kwa wananchi.
Kwenye swala la jezi ya timu ya Taifa, designer, mzalishaji na msambazaji wanatakiwa wawe watu watatu tofauti. Mnyororo wote huo hautakiwi kuwa chini ya mtu mmoja.
Bajeti yoyote ya Serikali huwa na contingency fund au tuseme fungu la dharura ambazo inapotokea jambo kama el nino hilo fungu linapelekwa kwenye Mfuko wa Maafa ambao unaanzishwa na Sheria ya Usimamizi wa Maafa.
Na kwa Mwaka huu wa Fedha 2026/27 Contingency Fund ilitengewa Bil. 372 kama nilivyoambatanisha screenshot ya Appropriation Act, 2026. Tazama fungu No. 021.
Incase fungu lililopo katika contingency fund haitoshi kugharamia majanga yaliyopo basi inaweza fanyika kitu wanaita reallocation/reprioritisation ndani ya bajeti ambayo inakua inatekelezwa kwa wakati husika..kwamba unaeza chomoa hapa na pale ili kutunisha mfuko ukabiriane na janga husika.
Kwa Tanzania, Sheria ya Utekelezaji wa Bajeti (The Appropriation Act), Sheria ya Bajeti na Sheria ya Fedha za Umma (Public Finance Act) vinampa mamlaka Waziri wa Fedha kufanya hilo suala yaani kufanya reallocation ya fedha fulani ndani ya bajeti husika na wakati mwingine bila hata ulazima wa idhini ya Bunge.
Nadhani naweza kuwa nimejibu swali lako.
Kwenye Institutional Reforms mtu yeyote angekua Rais kwa wakati ule 1995-2005 ilikua ni takwa la lazima ziwe, na major influence ilitoka nje!
Mwaka 86 na 87 kuna mambo yaliyokea ambayo kwa vyovyote vile yalitulazimisha tuwe na Taasisi imara , na kama nchi ambazo by then zilitegemea zaidi “nje” hatukua na option.
Tulikua na Structural Adjustment Facility (SAF) mwaka 1986 na kisha 1987 tukawa na Enhanced Structural Adjustment Facility (ESAF) zote za IMF na WB na ndo zikatupa Structural Adjustment Programs (SAPs) ambazo zote zilitupa ulazima wa kuwa na Taasisi imara na uchumi ambao upo decentralized around “taasisi”.
Na presha ya uwepo wa Taasisi was real na tulikua tunakua reviewed kila baada ya muda kuhusu namna tunatakiwa kuwa, aina ya taasisi tunapaswa kuwa nazo na kwa ulazima maana tushachukua fedha tayari. Mfano 97 World Bank wali publish report yao maarufu sana iliitwa “World Development Report, The State in a Changing World” kama review doc na ili cement kwamba ni lazima tuwe na TAASISI!
Na kama Nchi wanufaika wa SAPs we had no option. So kwenye Taasisi Imara ukweli ni kwamba;
1. Lilikua Takwa la nje ambalo llilitokana na kuchukua fedha za SAP baada ya makubaliano rasmi ya 30 October 1987 baada ya Tanzania kusaini SAPs Waziri wa Fedha, Masuala ya Uchumi na Mipango akiwa Cleopa Msuya (RIP), PM akiwa ni Jaji Joseph Sinde Warioba na Governor wa BoT akiwa ni Charles Nyirabu na PST by then akiwa ni Gilman Luhinda
2. Kwa hiyo mkopo ule SDR 74.9 million ambao leo ni TZS 269.9 billion tulizopewa na SAPs zilitupa ulazima wa kuwa na Taasisi.
Hata hivyo; BWM anabaki kuwa one of the best Presidents we ever had ila miaka 20 mbele tunaeza kuja kuwa na a sober conversation on how 4,5&6 regimes ni one of the best regimes we ever had kama Nchi. Walipotutoa, walipoikuta Nchi na where we stand is so remarkable & unbelievable!
Asante
Maandalizi kuelekea kongamano la Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi na nafasi yake katika kuleta mageuzi katika sekta ya Afya Nchini yamekamilika.
Kongamano linatarajiwa kuanza hivi karibuni katika ukumbi wa CHPE katika Chuo Kikuu cha Muhimbili, Dar es Salaam.
DIPLOMASIA YA UCHUMI YA RAIS SAMIA IMEONGEZA UWEKEZAJI NA UTALII - DKT. MAGHEMBE
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Mwanga, Ng'waru Maghembe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepata mafanikio makubwa kupitia diplomasia ya uchumi iliyowekwa tangu Rais huyo alipoingia madarakani mwaka 2021.
Dkt. Maghembe amesema hayo leo Jumanne Mei 26, 2026 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Bungeni jijini Dodoma.
Ameeleza kuwa mafanikio ya diplomasia hiyo yameonekana wazi katika sekta ya utalii ambapo mwaka 2021, wakati Rais Samia akiingia madarakani, Tanzania ilikuwa na watalii wa ndani na nje wapatao milioni 1.7 walioingiza dola bilioni 1.3 za Marekani.
Hata hivyo amesema kutokana na jitihada mbalimbali zilizofanywa na Rais Samia ikiwemo ziara za kikazi nje ya nchi, kampeni ya The Royal Tour pamoja na kuwakaribisha viongozi mbalimbali nchini, idadi ya watalii imeongezeka hadi kufikia milioni sita mwaka jana huku mapato ya fedha za kigeni yakifikia dola bilioni 3.9.
“Kwa kweli haya ni mafanikio makubwa sana,” amesema na kuongeza
“Rais Samia ameweka diplomasia ya uchumi tangu aingie madarakani, lengo lake kuu llikuwa ni kuifungua nchi zaidi, kuvutia uwekezaji, kukuza utalii pamoja na kuimarisha uhusiano wa kibiashara kikanda na kimataifa,” amesema Dkt. Maghembe.
Kuhusu uwekezaji, Dkt. Maghembe amesema takwimu za Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)
zinaonesha kuwa kuanzia Machi, 2021 hadi Februari 2025, taasisi hiyo ilisajili miradi ya uwekezaji wa kigeni 2,099 iliyozalisha ajira kwa Watanzania 539,488.
Amesema thamani ya miradi hiyo yote imefikia dola bilioni 25, jambo linaloonyesha kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kuvutia uwekezaji nchini.
Aidha, amesema thamani ya ukuaji wa uchumi kwa kipimo cha Nominal GDP imeongezeka kwa asilimia 28.5 katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia.
Dkt. Maghembe amesema Serikali itaendelea kuimarisha diplomasia ya uchumi chini ya Rais Samia ambaye amemtaja kuwa mwanadiplomasia namba moja nchini.
Katika kuhitimisha, Naibu Waziri huyo ameahidi kuwa, michango yote iliyotolewa na wabunge imepokelewa kwa mikono miwili na Wizara na itajumuishwa katika utekelezaji wa mipango yake kwa maendeleo ya taifa.
🚨 Enzo Maresca has already signed a three year deal as Manchester City new manager.
Agreement until June 2029 and new chapter to start soon at #MCFC, with Maresca fully involved in the transfer strategy.
Here we go, 100% confirmed. 💙🆕
Happy Birthday to me! 🎂✨💝.
Dear new age, I’m ready for you 🥂.
Another year older, wiser, and more determined to become the best version of myself. Grateful for life, love, and every opportunity ahead.
#mayqueen#birthday
BREAKING: The latest Economic Impact Assessment report released by Tanzania’s National Planning Commission in collaboration with UNDP shows that while the Gulf Crisis is creating serious global economic pressure, Tanzania still maintains strong macroeconomic resilience and strategic opportunities for growth.
The report highlights major impacts already being felt across fuel, transport, tourism, food systems, and public finances. Between January and May 2026, fuel prices in Dar es Salaam rose sharply, with petrol up 48.1%, diesel 55.8%, and kerosene 69.3%. Government responded by introducing a diesel subsidy of up to TZS 359 per litre.
Food security also faces growing pressure despite Tanzania maintaining 124% food self-sufficiency. Rising global fertilizer prices and low fertilizer usage remain key concerns for agricultural productivity and affordability.
Tourism, a sector worth USD 4.4 billion and supporting 1.6 million jobs, is facing risks from higher airfares, reduced connectivity, and possible booking cancellations linked to instability in global transport corridors.
The assessment also warns of growing fiscal pressure, including a possible monthly customs revenue shortfall of TZS 153.7 billion and rising fuel subsidy costs that could reach TZS 1.38 trillion in July.
Despite these challenges, Tanzania still holds important economic buffers. Foreign exchange reserves remain at USD 6.3 billion, inflation is stable at around 3.2%, natural gas reserves stand at 57 trillion cubic feet, and gold earnings are projected at USD 3.5 billion in 2025. The country also maintains sovereign ratings of B+ and B2.
The report recommends targeted support for vulnerable households, stabilization measures for productive sectors, and accelerated investment in domestic gas, LNG, CNG, minerals value addition, ports, logistics, tourism recovery, and regional food supply chains.
To strengthen coordination, the assessment proposes a dedicated Gulf Crisis Economic Coordination and Monitoring Framework supported by a weekly national dashboard tracking fuel stocks, prices, freight rates, food costs, tourism arrivals, exchange rates, customs revenue, and household hardship indicators.
Maria and her fellow activists have been using doctored images for a very long time. They have gotten away with this for far too long. Not any more 😂😂😂