#HABARI Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema Hezbollah italipa gharama kubwa kufuatia mapigano na mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon.
Netanyahu alisema alifanya mashauriano ya kiusalama na Waziri wa Ulinzi pamoja na Mkuu wa Majeshi baada ya kile alichokieleza kuwa shambulizi dhidi ya vikosi vya Israel.
Aliongeza kuwa aliliagiza Jeshi kujibu kwa nguvu, akidai kuwa takribani maeneo 80 yaliyolengwa yanayohusishwa na Hezbollah yalishambuliwa na makumi ya wapiganaji kuuawa.
Aidha, alisema Jeshi lililenga kituo cha amri cha Hezbollah katika eneo la Bekaa na kusisitiza kuwa operesheni za kijeshi zitaendelea ili kuzuia vitisho dhidi ya Israel.
Netanyahu pia alisema vikosi vya Israel vitaendelea kuwepo katika kile alichokiita ukanda wa usalama kusini mwa Lebanon kwa muda utakaohitajika kulinda jamii za kaskazini mwa nchi hiyo.
#EastAfricaTV
🚨 Roberto Martínez when asked about not subbing off Cristiano.
“It made no sense at all to take off Cristiano Ronaldo who is the best goalscorer in history off the field when we were looking for goals”.
It just dawned on me that without his goal against Newcastle we wouldn’t have won the league. Then it struck me that he wears shirt number 23, which coincidentally matches the exact number of days since Arsenal last won the Premier League title.
What a coincidence.
Despite Spain having 74% possession, Cape Verde committed just ONE foul the entire match.
This is the least amount of fouls committed by a team on record in a World Cup match 🤯