Hii ni sehemu ya safari yangu kuelekea kituo changu cha kazi.
Maswali: Itakuwaje kwenda kufanya kazi kijijini? Nitaweza kubadili mfumo wa maisha? n.k
MAJIBU: Ninaianza safari ya utumishi wa umma kwa moyo wa uzalendo, shukrani, na tumaini kwa Mungu.
NIKO TAYARI #KuanzaUtumishi
Akizungumza kwa njia ya simu na Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutimiza matakwa yao ikiwemo ujenzi wa makazi ya walimu ili waweze kuwa karibu na maeneo yao ya kazi.
#MamaAnafanikisha
Wazee Wa Makoti Na Miso Missondo Watakuwepo Dimbwini Leo🏝️
@countrywizzy_tz Ataongozana Na Marafiki Zake Leo Kidimbwi
@rollymsouth Watu Wafike Saa Ngapi?😂 : @bxtraglobal Wana Habari Kamili
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya, wakikagua kazi ya uondoaji wa tope unaoendelea katika baadhi ya mitaa katika mji wa Katesh, pamoja na Soko Kuu la Katesh.
#PichaZaTanzania
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akiondoka Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, tarehe 10 Desemba, 2023.
#PichaZaTanzania
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
#PichaZaTanzania#MamaAnafanikisha
Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 ibara ya 18a (iii) inaielekeza Serikali kuongeza kasi ya kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji.
Agizo hilo linatekelezwa kwa vitendo kwani sasa kuna ongezeko la jumla ya miradi 137 mwaka huu kutoka 82 mwaka jana kipindi kama hiki.
#MamaAnafanikisha
Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 inaiagiza Serikali kuhakikisha kwamba wananchi wanapata huduma bora za afya.
Bi. Ruth Mbaga ni shuhuda wa namna ambavyo serikali ya awamu ya sita inatekeleza agizo hilo kwa vitendo.
#MamaAnafanikisha
Arusha yapokea magari ya afya
Mkoa wa Arusha umepokea jumla ya magari manne ya kubeba wagonjwa na kutoa huduma za afya katika Halmashauri ya Longido, Ngorongoro, Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru pamoja na lori moja kwaajili ya kliniki tembezi.
#MamaAnafanikisha
Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi kifungu cha 83 (e) inaiagiza serikali kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini ikiwemo mifuko ya bima za afya (NHIF na CHF) ili kufikia lengo la Serikali la kuwa na bima ya afya kwa wananchi waote.
#MamaAnafanikisha
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akikagua kazi ya kuondoa tope inayo endelea na shughuli kubwa inayofanyika ambayo ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali ili kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea kama kawaida.
#PichaZaTanzania
Rais Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 23 Novemba 2023.
#PichaZaTanzania#MamaAnafanikisha