@zainabdehinde Comments nyingi za watanzania zina to expose jinsi tulivyo unprofessional mbele ya wenzetu.Matusi chuki sio utamaduni wetu swala la huyu dada tunalichukulia jepesi lakini ni kubwa tuiache serikali ifuatilie majibu sahihi sio kuanza kutukana waafrika wenzetu.
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. https://t.co/W1QSDkwLnf
@Chahali Ukoloni na ukaburu uliondoka sio kwa matakwa ya wazawa ni wazungu wenyewe walibadirisha mifumo ya kiutawala na hasa kuchagizwa na uwepo wa America kama Super power sababu alitaka maeneo mapya ya masoko na pia kuanguka kwa dola la kiingereza kama Super pawa
@ccm_tanzania Ccm inahitaji watu wenye fikra chanya na ushindani wa hoja za kidemokrasia sio watu wamaslahi na kutetea matumbo Mzee ungepumzika mtu akusaidie..Vijana wapo wengi nawanaushawishi wakiushindani sio kulalamika na chadema
@IAMartin_@tanescoyetutz Kero kila sehemu shughuli za maendeleo zinakwama hapa nilipo toka asubuhi umeme unaweka unakatwa si chini ya mara 30 toka asubuhi as if wamemwajiri mtoto anachezea switch ofisini kwao
@tanescoyetutz Kwanini Maeneo ya Dumila Kilosa umeme unakatika si chini ya mara 30 kwa siku as if mtu anachezea switch Yaani ni kero vitu vinaungua shughuli za kujenga uchumi hazifanyiki shida hasa ni nini TANESCO nini kimewakumba๐๐๐
@Chahali Shida sio upinzani shida kubwa Chama cha mapinduzi kimejishika na kina mizizi kwenye vyombo vyote vya maamuzi plus vyombo vya ulinzi na usalama.Kifupi masalahi na uwepo wa CCM Unategemea mfumo.