Tarehe 15/04/2024 nilipata wasaha wa kushiriki katika kongamano la kukijanisha bustani #GGP iliyoandaliwa na @UONGOZI ilikuwa product sana, I hope maoni yetu yaliotolewa na wataalamu mbalimbali yatafanyiwa kazi.
#greengrowth#Dodoma#ClimateActionNow
As Africans we should be proud of our culture because they're some small things others may regard as globalisation and independecy to as its our IDENTITY...
#AfricaExpertise#Lent2023
@MarekaMalili@MarekaMalili ni kutafuta namn yoyote ya kudhibiti content zote kuanzia cartoons,movies, posts za all social media kuhususu ushoga na serikali ipige marufuku kwa andiko juu ya ushoga ( najua itatugarimu kwenye investors)..maan tiktok wamejaa na watoto wetu wengi wanasimu janja
@MsigwaDany@ItsKamala@moodewji@MeTL_Group Hajamaanisha @ItsKamala mwekezaji afanye usafi ila @moodewji ananafasi kubwa ya kudhibiti taka endapo ataamua kubadilisha chupa zake ili iwe rahisi kuwa recyclable au kwa hizi zilizopo azitafutie namn, mfano mzuri @CocaCola walijitaidi wakabadili chupa @Sprite ili ziwe recyclable
Kipindi tuko chuo kuna jamaa alipata kazi owaka wa kwanza ratiba za chuo ngumu akaacha chuo, Tukadhani amefail maisha akiwa job akaanza zake evening class chuo kingine akahitimu mwaka badae na ana GPA kubwa kuliko tuliokaa class 24/7 na ana kazi
Kuelewa concept ya elimu ni ngumu
The best thing i have ever purse is being an ENVIRONMENTAL CONSERVATOR. Karibu kushirika katika kampeni ya kuazimisha siku ya mazingira duniani 2022 DUNIA NI MOJA♻️
Hatuwezi kuwa tunawaza tu kukusanya kodi bila kujenga mazingira rafiki na supportive kwa wafanya biashara. We need to encourage small businesses siyo kila kukicha kuangalia namna ya kuminya!