Tunapouanza mwezi huu tumuombe Mwenyezi Mungu atujalie neema na baraka tele.
Tuziombee kazi na jitihada zetu za kila siku ziwe chachu ya baraka kwetu pamoja na familia zetu
Ni dhahiri kuwa tunafanya kazi katika mazingira yenye changamoto kibao.
Happy new month, fam! ✨
Since it's Monday, let’s talk about #tijajournalism
Ifike wakati sisi kama wanahabari tunatakiwa kubadili upepo wa kalamu zetu.
Let’s move away from the usual “fulani kasema hivi, fulani kafanya vile” stories.
It’s time to shift our focus to impact driven journalism.
Bilionea wa Marekani anaweza kuuza kisiwa cha Lupita kilichopo Tanzania? Ukweli utakaokushtua
Mwandishi: @rausath_sued
Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://t.co/PaXPDBmBig
@HecheJohn Big appreciation to Mheshimiwa @hechejohn for a great conversation and for sharing his valuable time with me.
If you haven't watched it yet, make sure you visit @nijuzenews. Trust me, it’s worth every minute.
Extremely excited for the next chapters ahead! 🔥
#gratitude#media
Sitting down with the sharp and tough minded Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @hechejohn 🙌🏾
We all know Mheshimiwa Heche is not someone to take lightly. he is a tough no-nonsense leader, na ukweli ni kwamba ukienda kufanya naye mahojiano you really have to do your homework.