@nulphin Tukiwa wambia serikali ndio walichoma magari na vituo vya mqendo kasi Oct 29 mnabisha. Serikali hiyo hiyo huwa ndio inachoma moto masoko yote yanayo ungua. Hakuna raia wa kitanzania anae weza kuwasha moto kwa kasi ile. Lazima awe amepitia mafunzo.
@mkainerugaba You can't manufacture even a match box in your country and you want to fight a country which makes its own missiles? You must be out of your mind.