Umekuwa na Bidii, sawa. Kwanini Hakuna Mabadiliko? Hapa nakupa Siri, Mungu aliyompa EZEKIEL kuhusu Wachache wanaofanya Maamuzi katika kila eneo la Miji na Makazi, kwa niaba ya wengine.
Ukiangalia, niambie ulichoelewa.
Ukitaka ugombane na watu walio karibu nawe, waonyeshe kwamba hapa ndipo mkono wangu unapochota mafanikio yangu.
Ukitaka ukasirikiane na marafiki zako wote, ukitaka ufukuze marafiki zako wote waonyeshe mbinu unazotumia katika kukuza na kuendesha shughuli zako zinazokupatia jeuri.
MATESO YA UTAFUTAJI
Maana jambo hili ni zito.
Kut 18:17-18
[17] Mkwewe Musa akamwambia, Jambo hili ufanyalo si jema. [18] HUNA BUDI UTADHOOFIKA wewe, na hawa watu walio pamoja nawe pia; maana jambo hili ni zito mno kwako; huwezi wewe kulitenda peke yako.
THE HIGHEST DEGREE OF MATURITY | DIGRII YA JUU YA UKOMAVU
Hii ni hatua ya juu sana ya uwezo wa kuhimili mazingira yote yanayokulazimisha utende ama kusema kwa kufuatisha hisia ili ukosee. Ukifika hatua hii, heshima huombi, itakufuata.
KWANINI KUKOSOLEWA NI TATIZO KUBWA KWA WENGI?
Cain alikuwa mwanadamu wa Kwanza kukosolewa na Mungu mwenyewe. Lakini kilichotokea, Haikuisha vizuri. Repost iwafikie na kuwasaidia wengi. Handling Criticism.
BE UNPREDICTABLE.
USIANIKE SANA MAMBO YAKO- MWIKO KABISA!
Ukiona unatabirika, Watakuangusha MAPEMA SANA.
WALIMUULIZA YESU, Unaishi wapi? Akawajibu, Ndege wana viota, Mbweha wana Pango, lakini Mwana wa Adamu Hana pa kulaza kichwa Chake.
HAKUTAKA KUTABIRIKA!
KUSHINDANIA NAFASI
Kuna Nyakati Ushindani Unaibuka Kugombea Kile Mungu Amepanga Kukupatia, ama Amekupa. Isaka alikuwa Mhanga wa Kugombea Visima Ambavyo Mungu Alimpatia Baba yake Ibrahim. Nawe bila shaka Kuna mahali Ushindani Umekaa Kinyume Nawe. Mungu Akutie Nguvu Ushinde.
@babayaro_O3 Yeye ni Mungu. Aidha, aliuvaa uanadamu ili akamilishe kazi waliyoshindwa wanadamu. Aidha, alishaurejea Uungu wake, si mwanadamu tena kwa sasa.
2 Kor 5:16
[16] .Ingawa sisi tumemtambua Kristo kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena.
MAJUKUMU MAKUBWA, HUBEBWA NA WATU WAKUBWA.
Jukumu Kubwa Lililomshinda Adam, ilimlazimu Yesu Kristo kulibeba. Ndivyo kwa kila Familia, wako wabebao mizigo mizito kwa niaba ya wengine. Ukiwatambua hawa, waombee sana, vita yao ni kubwa.
@RidhiwanMussa1@Kuseka1 Aidha. Umesema vyema Yote uliyosema.
Wote walipewa adhabu.
1 Adam kwa kumsikiliza Mkewe.
2. Hawa kwa kumsikiliza shatani na kukubali kudanganywa.
3. Shetani naye kwa kumdanganya Hawa.
Hata sasa wanadamu bado wanadanganywa na kukosea, ndio kutubu na kumrudia Mungu kunahusika.
@PstSTANFORD Ukishughulika na Roho basi mwilini kunatii kila kitu kinakua sawa, shida tuliyonayo wengi hudili na matokeo bila kufuatilia chanzo/chimbuko
@chosen_yf Mwa 3:17
[17] Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
@Kuseka1 Mwa 3:17

@VitusMajula Mwa 3:17

@MoyoRizo KOSA LA ADAM
Mwa 3:17