A Man of a refined culture with an extraordinary flair for analysis and the ability to reconsider my thoughts whenever necessary |Pundit|
|FlairDiplomat| GURU
Sawa sikuwepo kipindi cha ukoloni ila kwa namna mabepari walivowasanya maRais wetu kwenye kimbinyiko nmeshawishika kuoa pisi ya ki-colonialist nami nilipizie kisasi.Yani nitamndinyaaa nhiiiiiiiiii.
Nape anakwambia siasa ni sayansi ya yanayowezekana akatafsri na lugha ya kina Lord chamberlain ART OF POSSIBILITIES.Nilikuwa sijui kumbe sayansi kwa lugha ya malkia ni art na sanaa kwakina Beckham maana yake ni science au vyote ni sahihi? eeh au bas
@ntickzu_ndaki @JuliusKato13@Semkae Hawajui ata rangi za tai zinamaana gani kwenye diplomasia ....halafu Putin hakupewa mualiko na hakuhudhuria mazishi ya malkia
@GeorgeMagoto@Pundit95@CAFCLCC@yangasc1935 Amjulie wapi Rais wa sasa wa FA ya DRC uefa finalist monaco against porto ya mourinho na mchezaji wa zaman wa yanga Papy Shabaan Nonda.Watu wana knowledge ndogo sana ya mpira au ni ama mahaba yanawaendesha.Atasema nonda alkuja km mrundi
@Fikra_pevu@HildaNewton21@MariaSTsehai Kanda ya mashariki(Pwani & DSM) wanakutania DSM,kanda ya kaskazini (moshi,arusha & tanga) wanakutania njia ya babati pale au handeni boda kuelekea Dom upper south wanakutania iringa....wanakula zao kimbinyiko straight to the parliamentary house
Hoja ya msingi sana hii,kuelekea Bungeni pale kuwekwe kausafiri flani cha wawe wanaenda kakimbinyiko au kandenjera flani iv ka-speshotritimenti @HildaNewton21@MariaSTsehai
@MkonongoGiven@SportsarenatzTz Angalau angezungumzia timu za zambia....i have been to zambia too kule kuna mpira,Nkana Red,Zesco Zanaco power dynamos etc ni timu ambazo ukizileta bongo tunaweza kutaftana ila Malawi rubbish kabisa
Rais Samia amemteua Prof. Mohamed Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuchukua nafasi ya Prof. L.Maseru aliyestaafu, pia amemtua Dr. Peter Kisenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya moyo ya J.Kikwete akichukua nafasi ya Dr. Janabi. #MillardAyoUPDATES
@MkonongoGiven@SportsarenatzTz Nimefika malawi bro hakuna kbs ligi ya maaana infact mpk miaka hii wanarusha matangazo yao kwa njia ya FM RADIO,mpira wa namna hii bongo uliisha 2005 kushuka chini.Chaajab zaid timu yenye basi ni hiyo bullets wengne wote wanatembelea costa
@SportsarenatzTz Malawi kuna timu 3 tu ambazo zote ukizileta Tz zinaburuza mkia na kuangukia championship
1.NyassaBigBullets
2.Mighty Wanderers
3.Silver Strikers
Hizo timu nyngine KamuzuBarracks,Karonga Utd cjui chilumbaBarrack ata ndondo ya blaza shaffihdauda haziwezi kubeba