Bro to Bro!!
Hii itakusaidia sana kuilinda afya yako ya akili na pia kukuepusha na unnecessary changamoto!!
Mimi huwa naitumia sana hii formula.
Unapokutana na Pisi kali, Ipe kasoro kwenye imagination zako, mpe dosari za viungo vyake….nitakupa mfano.
Ukimuona binti mrembo anza kumuwazia kuwa ana jicho moja lingine limetoboka, au muimagine ana komwe refuuu na kisogo kirefu!!
Mkate kiuno kuja chini mu-imagine ana kiwiliwili tu!!
Hakikisha unampa kasoro yoyote ya viungo, its very easy, utaishi bila stress na itakusaidia sana
Muswada wa Fedha 2024 ukaja hapa njoeni tudiscuss kuna vitu vingi sana vimepandishwa bei tuukatae 😂
Mkakataa wengine eeeh maoni yetu hayatasikilizwa sawa Muswada umepitishwa na ushakua Sheria, hakuna kitu Mbadilisha, Mnashangaa Luku tu, na Tozo ya pango 😂🙌🏿subirini injili itasikika kila pahala 🚶🏿♀️
🦅UKIONA HIZI DALILI UJUE UMEKUA HACKED 🤯MAZUNGUMZO YAKO NA SMS KWENYE SIMU!
🧵🧵🧵!
Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 🛀.Retweet afu njoo 👇
MAMBO 20 Wanaume Wengi Huchelewa Kujifunza na Ndo Suluhu ya Nguvu za Kiume.
Ukiyaishi haya kwa 75%, sahau kuhusu nguvu za kiume.
Repost Wana Wajifunze!
🧵