@JonMrema Aah we brother nae, kama unaona uongozi wako haufai si watoe tu au wew toka. Hizi vurugu za nin? kama unawadai wakulipe basi utoke, siyo lazima kila maamuzi yaendane na akili zako. Kubali na heshimu maamuzi ya wengi, be flexible mzee.
@TanzaniaOneJezi Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanaadamu na maelekezo, elimu, sheria utaratibu nk vyote ni kutoka kwa muumba mwenye kila elimu na mjuzi juu ya kila kitu. Elimu yake itashindwa dhidi ya elimu ya nani!? Wasiyo elimu wanaonekana kuwa na elimu..!
@HildaNewton21@MariaSTsehai Sisi sote ni wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea. Pole sana. Nchi yetu ni nzuri na tunaipenda sana. Tunaomba amani na tunaiishi amani. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
@Jambotv_ Police @tanpol wanaweza pewa taarifa na wakapuuza tu, mtu unaibiwa Mali unatoa taarifa unaambiwa sawa ukisikia lolote ututaarifu, wao hawaingii kazini kutafuta na kuwakamata wahalifu.
@YerickoNyerereT TRA wanatakiwa usiku wakalale tu, waachie milango magendo yapite tu, au ikibidi hata mchana wakiona magari au mzigo usiyolipiwa kodi waache tu uende huku wao wakikimbia kuchukua kibali cha ukamataji mahakamani, hata pale bandarini watulie tu. Pia kapitie sheria ya forodha ya EAC