@a_madembwe Uhakika wa kucheza champions league kwa la liga kaka sidhan kama ni standard kwa timu ambayo wachezaji wake wanacheza final ya world cup wengi ivo
@kalegamyeh Watu ambao bado wanaogopa HIV ni medical personnels, maana wanajua effects zake, hapo hujaelezea inapelekea kidney issues, heart, brain yaani karibia kila system inaweza kuwa affected
@cfc_surly Mpuuzi akiwa chelsea huwa ni kama hajui kushoot akipiga ni off target au shuti laini tuu golikipa anadaka, ila leo nadhan ndo mchezaji aliyeshoot mara nyingi zaidi
@josephzmacha@no_Icant_Let_Go Japo sikuangalia mechi ila kama unasema alitoa yellow bila foul maybe mpira arsenal walikuwa nao ikawa advantage ikabidi aache uendelee
@iamthatfemale@ReganTesla_ Sema ni vile tuu huwa mna negative attitude na kila kitu kinahusu sector ya afya Tz, hogo lina indication zake na hizo ORIF kama huyo zinafanyika sana Tanzania kuliko hata hayo mahogo mnayoyasema.
@lastlongyustine@PolycarpMDM Na watu wanamsupport, wakati Africa na ulaya ni mda kama unalingana hichi tunakipitia Europe pia iko ivoivo, pia wangekuwa hawaangalii hizo viewership wasingekuwa wanacheza mechi saa 7 mchana kwao huko
@LeeNDady@fintanjr_ Ila wana ratiba mbovu sana, kuna kipindi mnakaa hata mwezi hakuna ratiba ya ligi af zinakuja kuanza kuchezwa mechi kila baada ya siku 3
@kalegamyeh Siku hizi naona health personnel ndo huwa wanaogopa hiyo kitu tuu maana they know the truth, ila mtaani haiogopeki tena na inakuwa ni tatizo