@Rayhanjeyben@PolycarpMDM Lakini Africa ni Top Tier when it comes to Television Broadcasting na Commercial. Hapo sijagusa Tamaduni ya Africa inavyoikuza World Cup.
@Rayhanjeyben@PolycarpMDM Mimi naona the only issue ilikua kupeleka World Cup USA/Canada tena kipindi kama hichi ambacho mvutano siasa ya Dunia imeteka na sera za uhamiaji za USA. ambayo inapelekea baadhi ya timu na watu wao wanapata unfair treatment, ambayo liukweli inatengeneza precedent mbaya.
@Thommunkondya@depedrodeniss Kama mambo madogo haya tunayachukulia poa, makubwa yapi tutakua Responsible na Accountable. Ebu for once Tom wacha unazi be a true future statesman.
Nilikuwa naangalia interview ya Prof Anna Tibaijuka ambayo amefanya na The Chanzo katika vitu anasisiza ni kuwa makini na kuruhusu kuwa na serikali 3 kwani ndio kitu kilipelekea kuvunjika kwa Shirikisho la Urusi.
@MickyJnr__ What's missing? That's how they are. Bang of average majority players from PSL, World Cup differs to AFCON, and yet sometimes in AFCON, they struggle too. So there's nothing wrong. That's their worth so far. #fifa#worldcup
@Thommunkondya@FeliusFesto Kitendo cha kukaa kimya ile hali unaona tendo ovu linafanyika basi nawe ni mshirika kwa namna moja ama nyengine na sio mshirika tu bali ni mnafiki pia. Kukaa kimya haikufanyi uwe mwanaCCM Bora ama kamili bali ndio tunafanya watu wazidi kuona wanaCCM hatuwatendei Haki.
@DavidHundeyin@godbless_lema SCAMMER WITH FILM TOOLS ๐๐คฃ. LYING TO YOUR FELLOW NIGERIANS THAT'S EASY BUT TO TANGANYIKANS YOU'LL NEED LOTS OF HUSTLE
Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv ameto wito kwa Mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi kwa umma kinachokwamisha kuanza kutumika kwa Mabehewa ya ghorofa yaliyoletwa nchini kwa ajili ya usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR).
Zaidi https://t.co/Ynw9UMcNPZ
#JamiiForums#JFMdau2026#JFHuduma #Uwajibikaji
@ThatBoyKhalifax They don't care about the empty clinics; their salaries are paid on time, in full, and often supplemented by "performance bonuses" after successful crackdowns
"A hungry soldier is a rebel," the Chairman often whispered during inner-circle meetings. "A fat soldier is a shield."