Instagram @RAYVANNY_TWEET
C.E.O ( NEXT LEVEL MUSIC ) πΉπΏ | π―Musician From East Africaπ π BET AWARDS WINNER π|π Signed Under WCB wasafi π #NewChuiEp ππ
Miliki wanawake wa level zako anayekupenda na wewe unampenda, anayejua hali halisi ya maisha yako, ili uache kulalamika wanawake wanapenda Hela sana...!!!
NIKO HOME πΉπΏ NOW I WANNA WORK WITH MY ARTISTS FROM HOME U KNOW MY NUMBER SEND ME SONGS LETS DO IT π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ πππππππππ
Katika Maisha Hutakiwi Kulazimisha Mambo, Kitu pekee unacho takiwa Kukilazimisha ni Rababendi Pindi Ukiwa Unaizunguusha Kwenye Hela..!!! βοΈβ€οΈπ
Usimshirikishe Mungu kwenye jambo,kitu unapojiona kuwa hunalingine lakufanya, usimfanye Mungu last option.
Mshirikishe katika kila Jambo, mshirikishe unapotaka kuanza, unapoendelea, unapokwama na hata unapofika mwishoni. Mshirikishe Kwa Imani Yako Yote β€οΈπ
Plaque ya kwanza ya 100M kutoka kwa Golden Boy π― Chui .
Streams zaidi ya Milioni 100 (100M+)π kwenye app ya Boomplay.
Endelea kushare na kuenjoy ngoma kali kutoka kwa Rayvanny .
#HomeOfMusic#BoomplayGoldenClub100