1. Mohamed Dewj: Kilimo
2. Gulam Dewj: Kilimo (katani)
3. Salim Assas: Kilimo & Ufugaji
4. Raza Hussein: Kilimo
5. Issa Mwarabu: Kilimo
6. Salim Bakheresa: Kilimo &Usindikaji wa Vyakula
Hao ni Top ya Matajiri wakubwa Tanzania na wanajihusisha na kilimo.
Hamna Winga apo.
"They will create the virus themselves and sell you the antidotes.Thereafter,they will pretend to take time to find the solution when they already have it."
~ Muammar Gaddafi
(2009 United Nation Assembly)
Kenya - Affordable Housing Finance Project (AHP)
Wakati Tanzania tunapiga mafataki kusherekea sherehe za SIMBA na YANGA, majirani zetu, KENYA wamepiga mafataki kuzindua Mukuru Affordable Housing Project.
Tanzania tunatumia mijifweza ya Serikali kugharamia magoli ya SIMBA na YANGA, KENYA, wanawekeza fedha za umma kusaidia wananchi wa kipato cha chini.
Tanzania imewekeza kupambana na wananchi wanaokosoa na kukemea mauaji. Wanaonekana maadui. Serikali ya KENYA inajenga makazi kwa wananchi.
Mpango wa Serikali ya KENYA ni kujenga nyumba 230,000 za bei nafuu nchi nzima ili kuwapa Wakenya fursa ya kupata makazi bora kwa gharama rahisi.
Mradi wa Mukuru, utazisaidia familia maskini na zenye kipato cha chini kupata nyumba za kisasa kwa mfumo wa kukodisha-kwa-kumiliki (rent-to-own system).
Ambapo, watalipa malipo ya kila mwezi na kumiliki nyumba. Small studio apartments (bedsitters) inagharimu KSh 640,000 (TZS 12,353,416) kila moja.
Wanunuzi wanalipa kwa miaka 30, na malipo ya kila mwezi ya KSh 3,896. Hii inahusisha usalama, usafi na ukusanyaji wa takataka. Ziada ni maji na umeme wao.
Serikali itatoa ruzuku itakayoshughulikia amana ya 10%. Familia hazihitaji kutunza kiasi kikubwa cha pesa ili kuanza mchakato wa kulipa deni la kununua nyumba.
Mpango huo unalenga waliopo makazi duni hawahitaji kulipa amana yoyote bali wanakaa ndani ya nyumba na watalipa KSh 3,896 kwa mwezi kumiliki nyumba hizo.
Nchi nzima, katika kaunti zote 47 za Kenya, kazi ya ujenzi wa makazi nafuu kwa wananchi inaendelea katika Mpango wa Serikali wa Mageuzi wa Makazi ya bei nafuu.
fikiri kwa TZS milioni 12 ambayo utailipa kwa miaka 30 kwa malipo ya TZS 75,000/mwezi – ikiwepo na ruzuku ya Serikali unamiliki nyumba ikiwa na furnitures ndani.
Kweli, wanapata wananchi wa kawaida wamejisajili kwa kufungua akaunti ya eCitizen na kujisajili katika tovuti ya Boma Yangu (https://t.co/KVmJd3APTm) au kupiga *832#.
Ni soko la mtandaoni kwa washikadau katika Mpango wa Nyumba wa bei nafuu; homeowners, developers, financiers, and Micro, Small, and Medium Enterprises
Hii ni tofauti na ambavyo ingelikuwa Tanzania. Wangelipata wadosi na familia zao. Udalali ungelikuwa mkubwa na kama mradi upo Kariakoo, ni wahindi.
Kama miradi hiyo itafanyika kwa miaka 10 mfululizo, kwanini KENYA isiwe SINGAPORE ya EAC? Tanzania, Tulimkosea nini Mungu? Hakuna hizi fikra kabisa?
Tanzania watawala wapo katika vita ya kupambana na wanaharakati wa ndani na nje, wanawafungulia kesi wakamatwe na kutupwa gerezani maana ni kero kwao.
Badala ya kuwekeza nguvu katika mambo muhimu kama ‘Affordable Housing Program’ wanawekeza nguvu kupambana na waandamaji wanaotaka maisha bora
Unakumbuka mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni? Mradi wenye thamani ya TZS 1.3 Trilioni katika ekari 302, nyumba 3,759 umetelekezwa
Ujenzi wake ulianza 2014, hadi ujenzi unasimama 2016 unatajwa kutafuna TZS 179 Bilioni na ulikuwa ukitekelezwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Mradi wa Dege Eco Village ulikuwa na nyumba kifahari, hoteli, baa, migahawa, maduka, shule, hospitali, kumbi za mikutano, nyumba za ibada. Umetelekezwa wote.
2025 Serikali ya CCM ikaenda bungeni na kusema imefanya tathmini na kubaini itakuwa ni hasara kuendelea na mradi huo hivyo unatakiwa kuuzwa.
William Ruto anafanya mambo ambayo CCM (wakoloni weusi) wameshindwa kufanya kwa 64 tangu nchi yetu ipate uhuru wa bendera kutoka kwa mkoloni mweupe.
Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow
The biggest problem nchi hii inaweza hata isiwe watawala, kuna hawa middle income ambao ni wanufaikaji wa mfumo.
Sio tu wananufaika, wanaulinda mfumo.
Hawa ndio wananunua ma apple ya laki ili watoto wao wenye mapengo wale.