@PMadeleka Kwamba hujui kwanini watu wanashangilia? Wewe toa pole yako ueleweke umetoa ila usitake kutoa pole kwa kujifanya polisi hafi wakati ni binadamu wamekufa mitume na mahayawani kama firauni polisi ni nani?
Afya Yetu, Huduma Yetu!
@UNICEFTanzania joined @wizara_afyatz & partners to wrap up National Health Week 💙🇹🇿. Health Minister Hon. Jenista Mhagama, launched the government led Afya Yetu digital platform, an SMS platform supported by UNICEF in partnership with @GAC_Corporate, @Irish_Aid, and @KOICATanzania that lets people share feedback on healthcare services they receive helping improve service delivery for everyone.
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Dear wafalme,
Wanawake ni hawana shukurani,
Kamwe USIFANYE majukumu yako kupitiliza.
Kwa afya yako ya akili na moyo, kuwa mbinafsi king - kuwa mbinafsi.
KWANINI USIOE MTOTO WA SINGLE MOTHER?
Haya ni maelekezo simple, uliza swali leo najibu kila mmoja.
Sababu 10 za mtoto wa kike wa SINGLE MOTHER Kutodumu Kwenye Ndoa
1.Kukosa ramani ya baba:
Hajawahi kuona mfumo wa baba na mama wakisuluhisha mambo, so hajui namna ya kuishi na mwanaume ndani ya nyumba.
2.Tabia ya "I can do it alone":
Anakuwa amemuona mama yake akifanya kila kitu mwenyewe, kwahiyo anajikuta ana dharau msaada au mamlaka ya mume.
3.Ushauri mbaya wa mama:
Wakati mwingine mama anakuwa mshauri mkuu na anampa sumu ya "wanaume wote ni washenzi" kulingana na historia yake.
4.Hofu ya kuachwa (Insecurity):
Anakuwa na hofu muda wote kuwa utamuacha kama alivyofanyiwa mama yake, hiyo inamfanya awe na wivu uliopitiliza.
5.Kukosa uvumilivu:
Akiona hitilafu kidogo, akili inamtuma kuwa anaweza kuishi peke yake kama mama yake badala ya kutatua tatizo.
6.Kujihami (Defensiveness):
Muda mwingine anakuwa mkali sana ili asionekane mnyonge, jambo ambalo linaharibu amani ya ndoa.
7.Role reversal:
Anatafuta mwanaume wa kumlea kama mtoto badala ya kuwa mke, au anataka kukuendesha kama anavyomuona mama yake anajiongoza.
8.Kufananisha matukio:
Kila unachofanya anakilinganisha na makosa aliyoyasikia kuhusu baba yake mzazi.
9.Ukaribu uliopitiliza na mama:
Mama anakuwa msemaji wa mwisho wa ndoa yao kuliko mume, jambo linalozua migogoro ya mamlaka.
10.Mtazamo hasi wa ndoa:
Kwake ndoa inaonekana kama kifungo au sehemu ya mateso kutokana na simulizi za nyumbani kwao.
Mwanaume unapotaka chuma ya kuaminia + wifing someone zingatia.
1. Heshima
Mapenzi ya mwanamke kwa mwanaume yamejikita katika heshima anayo'mpa mwanaume wake, mwanamke asiye kuheshimu hana mapenzi na wewe.
2. Aibu
Ni miongoni mwa sifa za mwanamke alie bora, mwanamke asiye na aibu muogope na muhepuke mapema.
3. Utii na unyenyekevu
Mwanamke mwenye mapenzi nawe atakuwa mwenye kutii na kunyenyekea yale yaliyo bora kwako na kwake pia
Zingatia: huwezi vipata kwa pesa.
Bikra ni sehemu ya kwamba mwanamke alikuwa analinda usichana wake ila haina maana kuwa ni mwanamke bora kuliko wote.
Mwisho kabisa, SOMA PINNED POST YANGU.