Ninawapongeza na kuwatakia kheri wanawake wote katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Siku hii inatupa fursa ya kipekee ya kutambua, kujivunia na kusherehekea mafanikio tuliyopata, hasa katika elimu, afya, uchumi na uongozi.
Siku hii inatukumbusha pia wajibu wetu wa msingi kwa waasisi wetu na kwa vizazi vya sasa na vijavyo; wa kuendelea kupanga na kutekeleza mipango ya kumwezesha mwanamke, ikiwa ni sehemu muhimu ya kazi ya kukomboa familia, jamii na Taifa kwa ujumla.
Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetu.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tukumbushane umuhimu wa kuendelea kulinda tunu za Taifa letu za amani, umoja na mshikamano. Tunu hizi ndizo msingi wa mafanikio ya safari yetu ambayo ni mfano wa kipekee Afrika na dunia kwa ujumla.
Matunda ya Uhuru wetu yanaendelea kudhihirika katika uwezo wetu wa kuamua, kupanga na kutekeleza mipango yenye manufaa kwa wananchi na yenye kulinda maslahi ya Taifa letu. Haya ndiyo matunda ambayo waasisi wa Taifa letu waliyapigania na ambayo daima tutayalinda.
Tuufurahie, tujivunie, tuulinde na tuuthamini Uhuru wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Je una ufahamu wowote kuhusu gift card? Paiyapp wanakuletea mfumo mpya wa kibunifu wa kuzawadia wapendwa wako. Pakua app ya paiy na uanze kuzawadia wapendwa wako! Follow @Paiyapp_Tz kujua zaidi. #zawadikakidigitali
Are you familiar with the gift card concept? Stay tuned as paiytz brings you an innovative and reliable e-gift card solution. Download, subscribe and get ready to gift your loved ones the digital way! Follow @Paiyapp_Tz to learn more. #zawadikakidigitali
Mahojiano ya Balozi @MbelwaK na kituo cha Televisheni cha @CGTNOfficial kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia nchini China
It is with great sadness we announce the untimely demise of the President of the United Republic of Tanzania, HE Dr John Pombe Magufuli.
The Country will be on a 14 day mourning period.
God rest his Soul in Eternal Peace,
Amen
Kufuatia tuzo ya "The Best Mountain Tourism Hiking Route Award" iliyokwenda kwa Kampuni ya Tanzania ya ZARA Tour baada ya kuwasilisha Njia ya Kupanda Mlima Kilimanjaro ya Marangu- kesho Mlima Kilimanjaro utaoneshwa katika Televisheni ya China katika kipindi maalum cha dakika 15
Jimbo la Zhejiang kukuza ushirikiano na Nchi za SADC katika sekta za Afya, Elimu, Biashara na Utalii. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Jijini Beijing katika mkutano wa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Jimbo la Zhejiang Ndugu Chen Jiangfeng na Mabalozi wa Nchi za SADC
Donโt get discouraged when things donโt happen according to your timing. Pray that the Almighty grants you ultimate patience while you wait. Constantly remind yourself that the longer it takes, the more He has in store for you. You will be surprised & overjoyed with the outcome!
Zikiwa zimesalia siku 7 kufikia siku ya kupiga kura, tarehe 28/10/2020, watanzania wanahamasishwa kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, lakini pia kupiga kura nyingi kwa Chama Cha Mapinduzi. Vilevile wanakumbushwa kuzingatia amani na utulivu kwa kupiga kura na kurejea
"Ukianzia barabara kutoka Makongorosi mpaka Mbeya, tulikuwa tunatumia masaa sita sasa tunatumia saa moja, hii yote ni juhudi ya Mh. Magufuli" - Lawena Nsonda, Mfanyabiashara Makongorosi-Chunya.
@ccm_tanzania@MagufuliJP@MsigwaGerson@hpolepole@NduhijeAman