@zittokabwe Hii Oktoba Linda kura utazilinda wapi wakati hata wakala wako hatoshiriki zoezi la kuhesabu hizo kura? Achilia mbali ya kwamba hata karatasi za matokeo ya kura hazitobandikwa kwenye kituo? Usije hapa ukaanza kutoa milio baada ya Oktoba
@PatrickJAssenga Mmefikia hatua ya kuanza kuokoteza hizi habari za hivi vijarida vya Lumumba? Kuna vitu ukivipost humu vinaanika uwezo wako wa kufikiri, tunaanza kuamini shingo imebeba fuvu tu
@PatrickJAssenga Chama hakina shida ya wahutubiaji eh...!! Ila kitakuwa na shida ya wahutubiwa (the so you call wajinga & wapuuzi) after January 21. Ningekuwa wewe ningejifunza kumheshimu mtu mnyonge na asiye na sauti. Hata UDP hakina shida ya wahutubiaji
@Mwabuk2Boniface Ni yeye, wajumbe wa Mkutano Mkuu wazingatie tunawahitaji kwa sasa kama Chama kitakavyokuwa kinatuhitaji Oktoba 2025.
Ni maamuzi yao, kutusikiliza na twende pamoja au tuachane January 2025.
Lissu chaguo sahihi Mwenyekiti Taifa Chadema
@IAMartin_ Huku ni kujilisha upepo, wanayoendelea ndani ya hiki chama yanatupa picha tofauti na kuondoa Imani ya wale tuliokuwa na imani na hiki chama. Ila pia tujiulize viko wapi Leo hii NCCR Mageuzi au CUF? CDM inaelekea kufutika kwenye siasa za Ushindani
@frediejustine Tumefikia kwenye kuamini kutokuwepo kwa ukomo wa madaraka?
Sasa tafsiri ya neno DEMOKRASIA kwenye jina la Taasisi ndio linabeba dhana hii? Wananchi tunazidi kuelewa sasa ya kwamba hayupo mwenye uchungu nasi ila kila mmoja yupo kwenye kutafuta riziki yake
@godbless_lema Hapo maamuzi yawe ni kuweka mpira kwapani na kusepa kambini vinginevyo KAYOKO hatokuwa na huruma nanyi. Kile kipigo cha Mbwa koko ndicho kitatokea
@Mwanahalisitz Busara ni kwamba wakishawajua waliohusika na huu utekaji kabla ya kutueleza sababu za wao kufanya hivyo kwanza tuambie wamekamatwa na tuhakikishe wanafikishwa kwenye vyombo vya maamuzi (Mahakama) hili haki ikatendeke kwa muanga.
@DangoniDanni@fumbokhanJr Nilikuwa najikumbushia kama zile skills bado ninazo. Kumbe naweza kurudi skuli na mambo yakaendelea vizuri tu. After 20 yrs .....!!
@fumbokhanJr Akasomee Udaktari Chuo Kikuu kwa criteria gani za ufaulu alizonazo? Anadhani kuwa Daktari (MD) ni rahisi kama alivyojikuta kawa Mwanamuziki?
Wangapi mlifanikiwa ku cash-out ile odds 700 ya Sportybet na Ile odds 148 ya BetPawa?😀
Jnne hii, odds 700+ itatoka tena Kampuni ni Sportybet
Jtano hii, odds 109+ itatoka tena Kampuni ni Betway
Alhamisi hii, odds 147 itatoka tena Kampuni ni BetPawa
👉WEKA ON NOTIFICATION
@Jambotv_ Kesi ya mchongo iliyokosa ushahidi upande wa Jamhuri kuthibitisha tuhuma za Ugaidi na kulazimika kuifuta, leo unakuja na kutuambia Mbowe aliachiwa kwa huruma ya Raisi? Vichwa vingine ni mizigo kwenye shingo zetu