@lutkam@bwaya Kwa kuhusisha maelezo ya kaka bwaya "kero ni hisia" hivyo inatengenezwa baada ya kutendewa kitu fulani na kero anandugu zake kama huzuni, furaha n.k
Swali langu ni kero inaweza kuibuka maali ambao hakuna dharau?
💨 Ngoja leo nikupe sifa za saa ya Redmi watch 5 active.
▫️Hizi ni sifa kuu za [Xiaomi Redmi Watch 5 Active]():
▫️Skrini kubwa ya inchi 2.0 yenye mwonekano wa 320 × 385.
▫️Betri ya 470mAh inayoweza kudumu hadi siku 18 kwa matumizi ya kawaida.
▫️Bluetooth Calling – unaweza kupokea na kupiga simu moja kwa moja kupitia saa ikiwa imeunganishwa na simu.
▫️Vipimo vya afya:
🔸Kipimo cha mapigo ya moyo (Heart Rate)
🔸Kipimo cha oksijeni kwenye damu (SpO₂)
🔸 Stress Monitoring
🔸Zaidi ya aina 140 za mazoezi (Sports Modes) kwa kufuatilia shughuli mbalimbali za michezo na mazoezi.
▫️Water Resistant. Haiingi maji kwa matumizi ya kawaida.
▫️Bluetooth 5.3 kwa muunganisho wa kisasa na thabiti.
▫️Inafanya kazi na Android na iPhone (iOS).
▫️Uzito wa gramu 30.6 tu, hivyo ni nyepesi kuvaa siku nzima.
▫️Inaendeshwa na Xiaomi HyperOS na ina uwezo wa kupokea message za simu, WhatsApp na programu nyingine.
▫️Unaweza kuweka picha yako kama wallpaper kwenye screen.
🔸Saa hii inapatikana dukani kwetu kwa gharama 100,000 tu.
🔸Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/v5qsISsiWm
@rugilandavyi Kuna maneno nasemaga kama utani tuu simu zetu "second hand hazina manual script "
Swali rahisi tuu ameaga kwenye Jumuiya anaposali/majirani/kwenye vijiwe anapokunywa kahawa jibu utakuta ni hapana
Hizi simu zimefanya siri zinasemwa alafu ya bayana yanafichwa
@massid_@AnnaTibaijuka unakumbukaga ile audio ililetaga shida kipindi ya magu adi mtu akapiga ungoni kwenda kuomba msamaha kuna kipengele walikuwa wana nong'ona hata majina ya barabara wamenyimwa😃😃😃wandewa hawaridhiki asee