Mara nyingi sisi huacha chupa za plastiki pamoja na takataka zingine ambazo huchafua sana mazingira ya Fukwe pale tunapoenda kupumzika. Athari za plastiki ni nyingi kwa wanyama wa baharini na pia kwa mimea Leo chagua ku #OkoaMimeaYaAsili kwa kufanya usafi kwenye fukwe.
Msema ukweli mpenzi wa Mungu , Ni mara ngapi umemnunulia msaidizi wako wa kazi nguo? Je katika kufua unampa nguo zote au nguo zako za ndani (brazia, boxer na chupi ) unafua mwenyewe ? Nakukumbusha yeye ni mtu muhimu #WoteSawa
What is your most powerful and favorite bible verse😍..?
Mine is Habbakuk 1:5
"For I am going to do something in your days that you will not believe, even if you were told"🔥🔥
Share Yours!
I am more than blessed to have you in my life @Quedam always a pleasure to be around you ♥️. May God heap tremendous amounts of blessings on you .Zidi kuwa Baraka kwetu, endelea kutuonyesha inawezekana . You inspire a lot of us . Happy happy birthday sis . Nakupenda
In collaboration with Mafia DMO today @ActionAidT organized the training to 10 Community Development Facilitators and 13 mother groups representatives on COVID -19 response and adaptive measures to take a leadership role in response to COVID-19.
Moja kati ya majengo 15 ya shule tuliyoyajenga kati ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana na sasa. Pamoja na changamoto kubwa ya mvua. Tumefanikiwa. Majengo yote yana marumaru/tiles na madirisha ya aluminium na ubora umezingatiwa. Tumeweka na vimbweta 😊 #TokomezaZeroKisarawe
Leo Mh Selemani Jafo waziri wa nchi ofisi ya Raisi @ortamisemi na Mbunge wa Kisarawe akiambatana na Mkuu wa wilaya ya Kisarawe @jokateM watafanya ziara ya ujenzi wa shule ya kwanza ya Bweni ya Wasichana Kisarawe 👏🏻Shule hii ni lengo kuu katika kampeni ya #Tokomezazerokisarawe.
Ujenzi wa chuo Cha ufundi Arusha wa ghorofa 3 unaendelea ambao utakuwa na vitengo mbalimbali wa kada za kiufundi.
Lengo ni kutanua dhamira ya Kupata wataalamu wengi nchini
Mabinti wamekuwa wakiozeshwa wadogo hili linatokana na mara nyingi kina Baba kukubaliana na upande wa muoji, Fedha imeshusha sana uaminifu wa mwanaume na kujiamulia.
Tuache wasichana wapambanie malengo yao @InternewsTanzan
#ZuiaUkatili#GBV#BoreshaHabari#KijiweChaKahawa
Seven out of ten (71%) citizens are in favour of pregnant girls being allowed to continue with their education: 62% to return after giving birth, 7% to continue at school while pregnant and 2% would prefer them to change school.#EndTeenPregnancy#EndChildMarriage@Twaweza_NiSisi
#Thread fupi sana!
Hapa niko na Fundi Said-Mzaramo, very hardworking and ambitious. I insisted he worked with me on this project which is close to my heart.
We have a great working relationship. Umewahi kuona fundi anakupa taarifa baada ya ujenzi vifaa fulani na fulani vimebaki?
Kila tarehe 8 Machi ya kila mwaka ni Siku ya wanawake duniani, ambapo siku hii inatukumbusha kuangalia matokeo ya kisiasa, kijamii,kiuchumi waliyoyafikia wanawake.Tupia maoni yako hapo chini na utuambie ni kwanini zaidi ya karne sasa watu duniani wamekuwa wakisherehekea siku hii?
Jengo kubwa na lenye hadhi ila maji ya kutu na vyoo vichafu kwani haya majengo hakuna mkaguzi ? Tusichukulie poa maeneo haya yanahitaji vyoo safi na salama kwa matumizi ya watu #NyumbaNiChoo
Kampeni hii ya I am Beijing +25 inayozinduliwa leo tunatafuta wasichana 25 kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wenye malezi na ujuzi tofauti ambao watakuwa katika mstari wa mbele katika kuelekea kwenye utekelezaji wa ahadi za usawa wa kijinsia katika ngazi zote #IamBeijing25