@MarySnooper Ndio, nakubaliana kabisa. Watoto wanahitaji elimu ili waweze kujenga maisha yao na kuchangia kwa maendeleo ya jamii. Ndoa za utotoni zinawanyima nafasi hii muhimu na kuzuia ndoto zao.
"Wenzetu Her-Ability Foundation wamefanya kazi nzuri ya kucommunicate successful stories of women and girls with disabilities ambazo zimekuwa mfano mzuri wa communication strategy "
Wilma Mallya - Communication Officer @womenfund_tz
"Kushirikiana ni muhimu kwa taasisi zetu mfano @herabilitytz hawawezi kusimama peke yao katika kuleta mabadiliko kwa wanafunzi wenye ulemavu vyuoni lazima washirikiane na taasisi zingine katika kuimarisha mifumo yao na kuleta matokeo chanya"
Rose Marandu - Co-Executive Director
"Bila ya sisi wenyewe kusimama na kutetea haki za wanawake na watoto wenye ulemavu hakuna mwingine atakayeweza kutusemea".
Nuru Awardh - Mwenyekiti SHIVYAWATA idara ya wanawake na watoto. @FCSTZ@ShivyawataTz
"FCS na ADD international imewasaidia SHIVYAWATA kuunda majukwaa ambayo yanakuwa na sauti ya pamoja kwa wanawake wenye ulemavu."
Nuru Awardh - Mwenyekiti SHIVYAWATA idara ya wanawake na watoto. @FCSTZ@ShivyawataTz
"Wanawake wenye ulemavu kutokuwa na sauti ya pamoja tunawafanya watoa maamuzi kushindwa kufanya maamuzi kwaajili yetu"
Nuru Awardh - Mwenyekiti SHIVYAWATA idara ya wanawake na watoto. @FCSTZ@ShivyawataTz
"Mwanamke mwenye ulemavu anapitia changamoto maradufu zaidi ya yule asiye na ulemavu."
Nuru Awardh - Mwenyekiti SHIVYAWATA idara ya wanawake na watoto. @ShivyawataTz@FCSTZ