Wapi @STADItweets ? Leo nmekumbuka sana spaces za kilimo, nilijifunza sana kupitia Ecosystem ya Kilimo iliopo humu ndani na kufikia nje pia. Pamoja na @MalemboLE@MalemboFarm ukimya wenu ni mzito sana kwetu vijana.
I am Proud with what we are Building in @LIMAAFRICA_ .
The Mission is Simple Make Feed and Organic Fertilizer affordable and available to Smallholder farmers in Subsaharan Africa .
Good Morning Farmers......
Msimu wa Mvua unaendelea na tunaendelea kuona madhara ya mmomonyoko unaosababishwa na mvua...
Je kwa nini usinunue miche kwetu ili kukabiliana na madhara ya mmomonyoko lakini pia ujipatie matunda baada ya miaka 3
Tupo SUA Morogoro
0769228559
Tuoneshe kazi yako unayofanya ...usije kuta unafuga majini......🤣🤣🤣
For any Organic Farming Consultation rich us out @AgroEcologyTZ
Calls/WhatsApp 0769228559/0689595850
Habari , Kama unamjua Mtu yoyote anafuga au kuzalisha hawa Funza at a small scale. Naomba unikutanishe nao tafadhali au wanipigie 0755303133
.
Asante 🙏🏿
Nisaidie kuretweet iwafikie watu wengi zaidi.!
Biashara ya uzalishaji wa miche ya mboga ni matunda inakuwa na kiasi kikubwa sana hapa Tanzania, na hii imesaidia wakulima wengi kuongeza ufanisi shambani .
Ile risk ya kununua mbegu na kwenda kusia ili iote na kuhamishia shambani imeondoka sasa kwa sababu wakulima wengi walikuwa wanapata hasara kwani usimamizi na matunzo ya mbegu mpaka kuhamishiwa shambani ili lkuwa shida sana kwao
Mbegu pia na miundombinu kama kitalu cha kisasa zimekuwa bei ghali kwa wakulima lakini samba samba kumekuwa na mbegu bora zaidi ukilinganisha na kupindi cha nyuma , kwa hiyo ni rahisi kwa mkulima kununua miche kuliko mbegu
Nilipata kumtembelea Dada anaitwa Raha Aloyce (Raha Farm) yeye yuko Wilaya ya Kilosa(Dumila) hapa Morogoro. Yeye amejikita zaidi kwenye uzalishaji wa miche na hii imesaidia sana wakulima hasa ya mboga mboga na matunda wa eneo hili .
Note: Kilimo ni sayansi pana ambayo tija yake haiwezi kukwepa matumizi ya teknolojia na sayansi .
Kama wakulima tunahitaji kuongeza uzalishaji basi hatuna budi kuongeza matumizi bora ya teknolojia na Utaalamu ikiweno hii ya matumizi ya mbegu bora na utaarishaji mzuri wa miche kabla ya kwenda shambani
@greenagrictz@greenagrictz