@Nnauye_Nape Mh.N,,,Bado zile namba za tuma kwanamba hii zipo nyingi Sana,,,na hazijasajiliwa Tena nyingi ni za TCCL,,,Gharama za bando zimeongezeka,,usifanye utafiti kwa kuuliza watu,,we chukua lain yako yoyote fanya kama unaunga bando majibu utayapata, Tetea wananchi wako,,ππ
@RamadhaniShaur4 @HildaNewton21 Ujinga,,Maradhi vina tusumbua Sana Sisi wa TZ,, ujinga nipale tulipo ambiwa Mtu fulan ni Gaidi na sisi tukaamin,, Alipo toka Gaidi huyo akapitiliza Ikulu,,wenye akili walielewa lakin sisi wengine tulikaza ubongo,,ndio maana Bado tunashangaa mtu kwenda Kunywa chai
@RamadhaniShaur4 @HildaNewton21 Uzuri,,,kila kinacho panda bei kina tuhusu wote sio CCM sio wengine,,,pia hata sheria zinapo vunjwa sisi wote ndio tunaoumia sio CCM sio wengine,,, Na ndio maana Raisi wa Kenya Aliwahi kusema KUWAONGOZA wa Tanzania ni kazi rahis sana,,maana ujinga ndio unaotusumbua
@MahewaNgolo@ikoti_lissu@JonMrema@darmpya_@ChademaTz@kitilam Mm au ww tukiwa hatupo hapa duniani,,kama Kuna mema tuliyafanya tutatajwa ili wengine wajifunze kupitia sisi,,,na kama Kuna mabaya tumeyafanya tutatajwa ili iwefunzo kwa watu wengine,,,usiogope kutajwa lamsingi uache alama nzuri hapa duniani, Mbona mkapa yy hatajwiππ
@OmmyJozHimself @kifungula@darmpya_@ChademaTz@kitilam Shida ni kwamba sisi binadam Huwa hatukosi Cha kukosoa,,zikipigwa kura za Siri tutasema na zikipigwa za wazi nazo pia tutasema,,,na kila atakaesema tutamuona yupo sawa,,,,kula za wazi hazijaanza kwa CDM
@MahewaNgolo@JonMrema@darmpya_@ChademaTz@kitilam Anakumbukwa kwa yote aliyo yafanya ndio maana anatajwa,,,,Ndio maana tunasistizwa tutende mema ili tukifa tukumbukwe kwa mema, tukitenda mema tutakumbukwa kwa mema,na tukitenda mabaya tutakumbukwa kwa mabaya,,usiumie mtu anapo kumbukwa,ila inatakiwa ujifunze,
@mushingantahemu@VitusNkuna Wa Tanzania aliye chukua akili yetu sijui aliiweka wap?? Watanzania wakiona sheria inavunjwa ndio Huwa wanafurahi,,,,Maradhi na ujinga Bado vitaendelea kututawala sana