@tanpol Mtoa roho unatukosea sana bora angekufa Awadh,Mafwele au Muliro angalau tungefarijika kidogo na kutekwa na kuuliwa kwa Mzee Kibao na kina Dionis Kipanya,Chaula,Soka pamoja na wenzie
Huyo atakuwa ana mapungufu ya fikra nani alikuambia ubaya wa mwanadam huondoka nao? Na utambue hata huyo anayemchukia Police naye pia kuna ambao wanamchukia.
@tanpol Akifa police raia wanafurahi nadhan ni kwa sababu ya baadhi ya police wenu kuwa na kashifa mbaya za kutisha raia kwa kuwabambikizia kesi za uongo, kupiga raia, kushikilia bila dhaman. Watu wameenda mbali wanasema wakikuta gari lenu limepinduka wanawamalizia badala ya kuwaokoa🤔
@YoungAfricansSC Watanzania wenzetu wanatekwa na kupotezwa nyie (baadhi) @SimbaSCTanzania na @YoungAfricansSC mpo busy na kushabikia mpira
1. Mnaliaibisha Taifa
2. Maliasili na rasilimali zinachezewa mpo kimya
3. Mnatumika kijinga e.g. Toto Afya inafutwa mnashangilia goli la mama
SHAME ON YOU!!!