Jukumu letu ni kushirikiana na wadau wengine kumlinda mwanamke msichana na mtoto dhidi ya vitendo vya ukatili katika sekta zote.
Katika sekta ya michezo tunashirikiana na @globalpeacetz kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia michezoni.“ Ukatili Wa Kijinsia Michezoni Haukubaliki”
Waandishi wa Habari wanawake hivi Sasa wameendelea kuonesha uwezo wao katika utendaji wa majukumu yao bila ya kukata tamaa.
#WomenInMediaTz#WanawakeWanaweza@TAMWA_
Wawakilishi wa Mtandao wa Kupinga rushwa ya ngono(Anti sextortion Coalition) wakizungumza na waandishi wa habari leo. Lengo la mkutano huo lilikua ni kutoa taarifa yenye msimamo wa mtandao kuhusu mabadiliko ya sheria ya Kupambana na Kuzuia rushwa kifungu cha 25(2).
Wawakilishi wa Mtandao wa Kupinga rushwa ya ngono(Anti sextortion Coalition) wakizungumza na waandishi wa habari leo. Lengo la mkutano huo lilikua ni kutoa taarifa yenye msimamo wa mtandao kuhusu mabadiliko ya sheria ya Kupambana na Kuzuia rushwa kifungu cha 25(2).
Leila Sheikh. Beautiful bright girl with a high sense of gender equality human rights press frèedom. The women rights movement in Tanzania has lost an indefatigable lieutenant. Your legacy at TAMWA and beyond shall endure. You Fought the fight. RIP. Aluta continua in your honor
Do you know that Nigeria is one of the countries with fewer women in the legislature (3 women out of 109 senators elected at the 10th assembly). What is stopping you?
#RunDontRun#DontFearAppear#OneMoreMeansMore
Chama Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) tunapenda kuwaataarifu Wanachama, Wadau wa Maendeleo, Wanahabari na Wananchi kiujumla kuwa ofisi yetu itafungwa kuanzia 23/12/2022 hadi 16/1/2023. Tunawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2023! #MerrChristmass#ZuiaUkatili#TAMWA
Nachofurahi fainali ya kombe la Dunia
1.Mtangazi wa TBC Taifa ni Nazareth Upete-Kutoka Anga za Michezo ya Redio SAUT FM.
2.Upande wa Redio(TBC FM), Mtangazaji ni Oscar Nickson Nkembo-Kutoka Anga za Michezo ya Redio SAUT FM.
Wote wamemaliza 2020-2021 @StAugustineoftz