@alfajiritz@FatmahShokat Air travel is considered a luxury service kwenye hii nchi, wakati ingewekewa mazingira rafiki kufacilitate movements za watu ingechangia pakubwa sana kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na kwa ujumla.
@AscentForge@DearS_o_n ...question, ..what bout our fellow men ...married men who sleep with women (not their wives),..men who floric with women as young as their children , coworkers and subordinates,their sister in-laws etc?? ..or it's not something we should address too??
@kingd19815017 Ukianza season 1 episode 1 ...hutaielewa kwa hype za masimulizi ...jump to season 3 huko uone kama hujarudi kuanza mwanzo. Br Ba inataka "inquisitiveness" ..
@Muhumapatali @Balyx_ π€£π€£ daaah!! Kwamba tunazo kama hizo ..yaani mrusi mwenyewe ndio amezindua punde boresho ila sisi tayari tunazo ...haya mkuu wacha tukashangae vilima vya ngerengere
@OgMsukuma99187@BarakaMaviatu Kumbe wa 1986 tayari mshangazi!!! ..ana mtoto mwenye miaka 23, yawezekana kamzaa 2001 hapo ..ambapo "mshangazi wako" alikuwa na miaka 15..well it's a cycle ..itarudi tu ilipoanzia.