@EsirEid Nyote Kuna jambo mna likwepa Kuna tatzoo kubwa hasa kwenye mafundisho ya hizi dini mbili narudia Tena Kuna tatzo kubwa kwenye tunayo jifunza katika hizi dini mbili
@BarakaMaviatu Nyote Kuna jambo mna likwepa Kuna tatzoo kubwa hasa kwenye mafundisho ya hizi dini mbili narudia Tena Kuna tatzo kubwa kwenye tunayo jifunza katika hizi dini mbili
@rollymsouth Chochote mtacho ongea hakiwezi kubadilisha kuwa ma mia ya watu waliporwa uhai wao na Kila alie shiriki kuchochea anayo damu mikononi mwake
@kaji_sijo Sisi wote ni vipofu ndo maana hatuna ukweli kamili au ushahidi kamili kuhusu yajayo baada ya hihi Dunia @usipo mpenda jirani Yako vipi Mungu /Allah utampenda kweli maana Mungu/Allah hatujawahi kumuona lakini ww msafi na mm kfiri tunaonana kwanini tusipendane
@Cutyhusnah kupuuzia vitu vidogo kama bara bara kero za usafiri mijini na mrundikano wa kodi na matumizi mabaya ya fedha za umma yametufikisha hapa Mungu atujalie tusizidishe