SELF GROWTH INVESTMENT 🌱
.
Nakumbuka Mwaka Juzi 2022, wakati wa Hustles Kitaa nilikaa na jamaa mmoja, mshikaji wangu tukipiga story kuzungumzia Fursa na Hustles mbalimbali Ku level up kwenye Self Development Positivity.
Nilijifunza Mengi kwake, yeye pia alijifunza Kwangu.
Kuna kazi mtu unafanya.
Zinakupa pesa.
Ila,
Sio kazi ambazo ni guarantee ya maisha ya leo, kesho na vizazi vyako.
Ni PATH ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.
Mfano.
Udereva wa magari yote.
Ujenzi
Boda
Agent
Dalali
Fundi wa furniture
Fundi wa AC
Uchomeleaji
Freelancing
Mawawinga
Na kazi nyingi au zote zinazokupa pesa ndogo ndogo ya kila siku.
Fikiria madereva ambao hawakujiandaa kupokea uzee wana hali gani.
Fikiria na hao wote katika uzee watakuwa na hali gani wanapo relax.
Boda mzee?
Agent wa magari mzee?
Badala yake.
Ile ni fursa ya kuandaa maisha bora ya baadae nje ya hiyo kazi.
Kwake na vizazi vyake.
Changamoto ni kwamba.
Katika umri wa ujana ambapo hizo fursa zinawapa pesa.
Watu tuna relax na kutumia pesa katika mambo ya ajabu kama.
Pombe.
Kubadili wanawake.
Kusomesha na
Kuzaa zaa among others.
Ndiomana baadae tunapata hawa wazee bodaboda.
Wazee content creator.
Wazee wa vijiweni wanaosumbua watoto wao wanaopambania familia zao.
Baadae inakuwa lawama kwa ndugu wenye kipato mpaka kugombania mirathi na mambo kama hayo.
Lengo la hii tweet ni.
Ijue kazi yako na uifikirie in 30 years to come itaendelea kukupa pesa? Kama hamna basi usi relax bro.
Normalize kutolidhika hatakama sisi wote tutakufa. Angalia watoto wako wataishije baada ya wewe kutokuwepo.
Angalia katika miaka yako 50 utakuwa umeshika nini cha kukupa pesa bila wewe kushughulika kwa nguvu.
Fanya kazi yako kama path ya kukupa kikubwa zaidi.
Save pesa kwa malengo ya kufanya kitu kikubwa zaidi.
Duka la simu linaweza kufa.
U winga unaisha.
Udalali unaisha.
U content creator unaisha
Kuwa boda au bajaji kuna mwisho.
Kuwa dereva kuna mwisho.
Sasa baada ya hapo utakuwaje? Hizo kazi zitaisha ukiwa umejenga mazingira salama bila wewe kushugulika?
Utakuwa na hardware kubwa watoto wako waendeleze?
Utakuwa na nyumba nyingi?
Utaendelea kuwa content creator?
Utakuwa na lodge nyingi?
Utakuwa ume diversify assets zako?
Pambana sasa bila kuchoka huku ukijiweka bora kwaajili ya kesho.
KULA UJANA VIBAYA UPATE TABU KUMEZA UZEE.
Mpaka kufikia 2021 JPM anafariki pale, ni vijana wachache sana walikuwa wamekimbia nchi/wako exile kwa sababu za kisiasa na hofu ya kurudi nchini kwa sababu za kisiasa/utawala uliopo madarakani na vyombo vya dola.
Hapa katikati hapa 2024-2026 hii idadi ya vijana kuwa exile imeongezeka mno.
As we speak kuna vijana wengi sana hawapo nchini na hawawezi kurudi kwa ajili ya kuhofia usalama wao.
Wapo wengine wengi hawakukimbia nchini, waliondoka kwa sababu zao binafsi, lakini wakiwa nje wamekutana na viashiria vingi vya usalama wao pindi watakaporejea nchini!!
Wengine walijaribu kurudi hatujawaona mpaka leo!!💔
Hadi kufikia 2030 Hii idadi itaongezeka sana kwakuwa watawala wamekataa kubadilika!!
💨Umesikia kuhusu airpod za xiaomi?
Redmi buds 6 play.
Zina kaa na chaji zaidi ya siku saba na kwenye upande wa noise cancellation ndo penyewe.
Zipo dukani kwa bei ya shilling 50,000.
@Ibrah_Sheby@BillyTronix1@MsFrancic Kuna namna huko mbele kaka watoto wetu wa kiume wataenda kuteswa sana na wanawake na wengi watakufa mapema wasipojiangalia yaani imekua sio tuishi nao kwa akili bali kiaskari zaidi🙌
Hebu tuwaze nje ya BOX!!🤔
What if, ni mchezo wanautengeneza ili kumfanya VICEnt apate sympathy kwa wapiga kura….kisha ndio iwe next kete yao 2030!!🤔
Yes, coz sio mara yao ya kwanza kuyafanya hayo!! Wameshaitumia sana hii strategy huko nyuma na wakafanikiwa!!
Nikurudishe 2017
TAL alipopigwa pyuu pyuu 🔫
wengi walimchukia Banza kwa lile
tukio!!
Hisia zangu zinanambia #MasterMind aliitumia hii opportunity akamtuma Kizim-Job akampe pole TAL!!
sidhani kama ile move ya kwenda kumuona na kumpa pole TAL ilikuwa bahati mbaya ile, huwa always nahisi it was strategically planned na pengine mtoa pole hakujua kama ni mchoro anachorewa, yeye aliamini anatenda utu….but kuna watu behind the scene walipush ile move!!
Ili kumjengea sympathy,imani na upendo kwa raia, kwamba kati ya wanachama waandamizi wooote, ni huyu pekee kajitoa kwenda kumuona mgonjwa.
Basi huyu ana upendo sana!
Basi huyu atatufaa kutuongoza!
Huyu sio katili kama Banza!!
Kumbe MasterMind anasema huyu
Ni next kete yetu tutamtumia siku za mbeleni, tayari anauzika kwa wapiga kura!!
Haya miaka imepita….
vipi leo bado sio katili!!?🤔
Sasa nashangaa sana kuwaona baadhi ya wanafamilia wakiingia kwenye huu mtego tena mapema sana, bila hata kuwaza nje ya box!!
Tena wengine ni watu senior na very influential kwenye siasa na harakati!!
Wanaanza kumpongeza VICEnt kuona huruma, kumfanyia PR na kumu-endorse kwa raia….Pasi kujua kufanya hivyo ni kurudia makosa yaleyale ya kujikuna Nyashi kisha unakata kucha kwa meno!!
Ni kweli VICEnt anaonekana kuwa mtu poa currently, lakini shida ni familia ileile!!
Iko hivii…..hawa jamaa ni very smart na calculated!
Wanajua fika now wako kwenye nyakati ngumu sana kujiuza kwa wananchi kutokana na waliyoyafanya….Nyama ngumu kwelikweli!!
Wana changamoto kubwa
ya who is next? ambaye wata msimamisha na raia wakampokea na kumkubali bila makwasukwasu yoyote!!
Hapo sasa kwenye Who is next, ndiyo nahisi #The_Master_Mind huwa anakujaga na mchoro wa kutafuta exit!!
Kwamba watengeneze beef/vita/misunderstandings wao kwa wao ndani kwa ndani, then habari zitoke nje kwa raia….kuwa kuna mpasuko ndani ya chama!!
Then ile kete wanayoitaka wao ndio ionekane kwa raia kama ndiyo inaonewa ndani ya chama au kama ndiyo shujaa inasimama na raia!!
Na raia tulivyo na mtindio wa ubongo tunajaa kwenye huo mfumo!
Tena wakati mwingine #MasterMind anaweza akachezesha huu mchoro bila hata kuwashirikisha wahusika wakuu, yaani main characters wakawa wanapasuana kiukweli, kumbe kuna mtu behind the scene anawachezesha filamu!!
Anagusanisha nyaya, anapigisha cheche bila wao kujua….
KUWENI NA MISIMAMO
KUWENI NA KUMBUKUMBU
WAZENI NJE YA BOX
MSIJAE KIZEMBE
Nways labda niko wrong na hisia zangu!!
Tatizo naangalia sana movies za watu waBad wanavyoRemote Gavoo na Viongozi!!
zinaniharibu sana!!
Nimesoma Private nikasoma Kayumba, NIWATOE HOFU KWAMBA hata kama una hela nyingi kiasi gani, usilipe Ada inayozidi 1m kwenye shule za Nchi hii, Kama una hela nyingi kwanini Usipeleke watoto Nje ya Nchi, Bro hakuna utofauti wa Syllabus kati ya Private na Gavo School, utofauti ni kwamba Private wanamaliza Topic mapema, vingereza vingi na kufaulu kwa Urahisi, But Zero Skills, No Technology
EWE MZAZI USICHOME HELA ZAKO 📌
LENGO Lilikuwa ni ku SAVE More money for future investments, Ila Mpaka kuelekea Nusu ya Mwaka So far Meza Imepinduka, Instead of Ku SAVE tumeishia kwenye MADENI Makubwa (Songesha, Bustisha, Mshiko Fasta & Nivushe Plus.
Maisha Ya kweli 2026.
@DullahTheking2 [Offset]
..Got dope like Pablo (Pablo)
Cut throat like Pablo (Cut throat)
Chop trees with the Draco (Draco)
On the Nawf, got Diego (Diego)
Say "Hasta luego" (Luego)
Muy Bien wrap a kilo (Yeah)
Snub nose with potato..
Kama umekuwa hupati matokeo kwa muda mrefu kwenye maisha acha kusoma self help books, unapoteza muda.
Anza kusoma maandishi ya kale ya falsafa, saikilojia, quantum physics,na elimu ya kimungu.
Mafanikio kwenye chochote kile ni PRINCIPLES, mbinu hubadilika.
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume wa aina 5
1. Villagers (hawajakulia mjini hawajui vitimbi vya ndoa)
2. Watu wasio na uhakika wa kuichapa
3. Watu waliorogwa/wanaobebwa ufala na wanawake
4. Watu walioshika dini sana
5. Watu ambao wako social engineered (hawaezi kuwa na fikra huru)
Mimi sipo hapo.🫡
GABBY wa Mbeya CHINGA wa DUBAI anaelala kwenye makontena huko uarabuni.
Amefanikiwa kufikisha mzigo hapa Mpanda-Katavi.
Haka ka charger nimekapokea kana kichwa kidogo ila akili nyingi.
Chinga amenyooka sana na imani kwakuwa na shinda humu ameona anitumie ndio nimlipe.
MDUBAI wa Kinyachusa hana njaa😁
Sumbwawanga wanakwambia.
Mwamba kanyooka ni icho..😂