@jameshalima67@Yohana_Haule1@FanuelMkisi Mwambieni kiongozi wenu aweke neutral ground kama mtatoboa
Tunataka reform ili pumba zinazobebwa na mfumo zitoke
Nyie wabunge wa kusifu tu
@eastafricatv Ukiwatendea watu haki wala hutumii nguvu kubwa kuhusu amani watailinda na watakulinda
Lkn kinyume chake ni uongo wa wawazi siwezi kuwa na amani na wakati ndugu, jamaa na marafiki wanapotea na hatupewi matumaini, kuna tofauti gani Sasa na kipindi Cha mauaji ya vikongwe na albino
@Mwanahalisitz Unatumalizia MB nenda unachekewa kule kwenye ubwabwa sisi tuko tayari hata chadema ikikaa miaka 10 bila kampeni tunaiamini imebeba ajenda zetu