Kabla Hujaona Madhaifu ya Mtu, hebu Jitie wewe hatiani kwanza Haina Maana ya Kukejeli Mawazo ya Mwingine au Kuona Hakuna Analojua,Tumeumbwa tofauti kabisa hata Kimitazamo pia,
Tusijihesabie Bora kabla ya Kuona Cha Mwenzio nacho Kina Maana.
@maghaseti28@Eric__Bernard Hahah😅 Elewa Logic kwanini Leo atoe Huyu sio Wa Kawaida what's Behind?
Rudisha Taarifa kumi za TPDF Nyuma, hakuna Taarifa aliyowahi kutoa huyu- why atoe Leo inapoonekana Kuna Mpasuko?