@kaji_sijo Hope umesound the same madini ya Niger yalipochukiwa kwa asilimia 24 na Naija kuoewa aailimia moja faida za madini yake,hizo nchi za umoja wa sahel walikuwa na maendeleo waliyonayo asasa kwa muda wote waliokuwa na Ufaransa?!
Je? Bado Burkinafaso top poorer?
Elizabeth Mambosho mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA, Aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA Awajibu Akina Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwakuwa walizoea kufanya biashara za siasa ila sasa Duka Limefungwa.
MUDA WA KAMPENI HUUππππ
Wahuni wamemtegeshea chuma tupu,Mheshimiwa Mbunge akawa ana pump hewa πππ
Walipo kuja Kuondoa chuma cha kupamp bomba wakakuta chini hakuna kisima wala nini..! πππ
Vinaitwa Visima vya mwendo kasi.
Nasikitika ndoto zake za Ubunge zilifutika hapo hapo πππ
@FBurumba44289@nulphin@SuluhuSamia So mmeona ni bora kuzungumzia bajeti ya nchi ili hali mkujua waliowengi ambao ni sawa na asilimia 75 wako msibani?! #what an idiot to come out with such an excuse!!!π€£
Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa kichama wa Ilala Nice Gesute aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi wa CHADEMA afunguka kushawishiwa kujiunga na chama cha CHAUMA na kuahidiwa kupewa ubunge wa viti maalumu, adai wanaohama chama kwasasa ni Mradi baada ya CHADEMA kusema "No reforms no Election"