@maestrowafact Sas hapo tofaut yako na yeye ipo wapi?? Yeye kaita marehem ngโombe wew unaita mbwa .. i guess wote mmafanana evn sababu zenu zinafannaa โkutofautiana mitazamoโ ila nahisi yeye ana-afadhali coz amekua sauti kwa wenye kutaman kuongea ila hawana sautiโฆ alisikika mlevi wa ile bar ๐
@msakufarm Haya mambo yote yataisha kama serikali ikatafuta njia bora ya kusindika haya mazao ya bustani n wakulima kukubali mabadiliko kuanza kuuza kwa uzito ( kilo) na cyo ujazo
@rollymsouth Usaili una faida kubwa sanaaa kwenye ajira, despite ya kuchuja pumba na mchele
1. Kwanza inaondoa bias, means kuna equal chance kwa kila mwenye sifa
2. Kwenye baadhi ya fani, inahitaji zaid mtu competent kuliko alama za kwenye cheti (engineering & medicine) etc
@MaximilianLB@TMnyama4_@Dr_DGwajima Yaan bora ungepita kimya kimya usingejibu na hii inaonyesha kabisa kwann serikali waliamua kuweka interview za walimu japokua imewasomesha, Mtu amejieleza yeye ni mfanyakzi wew unakuja kusema ni mwalimu then walishajarbu kuongea na mkuu wa shule wameshindwa kuna ubaya gan hp ?
@vliandro_gerald Nadhan hukumuelew alichomaanisha, alimaanisha kua now tunachukua A-lists mfano: che malone alikuja akiwa MVP wa cameroon, Ahoua amekuja akiw MVP wa ivorycost the same kwa pacome, Oukajepha mvp nigeria, mpanzu mvp congo cyo kma miak y nyum tulikua tunachukua wachezaj wa kati
@Halmanino1 Ujue una nusu ya moyo wangu, na nusu ilo baki kwangu
Yote nakupenda wewe, una jua langu, una mwezi wangu
Unatembea na roho yangu
Sio mtu tena wa mademu, we ndo Michelle Obama wangu๏ฟฝ๏ฟฝ Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea ๐