Kampuni ya malipo ya kimataifa ya NALA (@NALAmoney ) iliyoanzishwa na Mtanzania Benjamin Fernandes (@benji_fernandes ) imefanikiwa kupata mkopo wa hadi Dola za Marekani Milioni 50, sawa na zaidi ya Tsh Bilioni 130, kutoka Liquidity kupitia Mars Growth Capital inayoungwa mkono na MUFG Bank.
Fedha hizo zitatumika kuongeza huduma za malipo ya kimataifa, kupanua miundombinu ya kifedha inayotumia Stablecoins pamoja na kufungua njia mpya za kutuma na kupokea fedha kati ya Afrika, Asia, Ulaya na Marekani.
Akizungumzia na AyoTV hatua hiyo, Mwanzilishi na CEO wa NALA (@NALAmoney ) Benjamin Fernandes amesema ufadhili huo utaisaidia kampuni kuharakisha ukuaji wake duniani huku ikiendelea kujenga teknolojia ya kizazi kipya ya malipo ya kimataifa.
NALA kwa sasa inafanya kazi katika nchi 17 na ina liseni 23 duniani.
Akizungumza na AyoTV, @benji_fernandes amesema kampuni hiyo inaendelea na mchakato wa kupata vibali vinavyohitajika kutoka mamlaka husika ili kuanza kutoa huduma mpya kwa watanzania.
Amesema mchakato huo unahitaji muda, lakini ana matumaini ya kupata idhini zote muhimu.
Kwa sasa, Watanzania waliopo nyumbani na diaspora tayari wanaweza kupakua App ya NALA kupitia Play Store au App Store wakisubiri huduma kuanza rasmi nchini.
Pakua NALA App na code: NALAM
https://t.co/d4AUOC17UY
#MillardAyoUPDATES #BenjaminFernandes #NALA #Tanzania )
In honor of 50 years of Apple, we're sharing - for the first time ever - Don Valentine's original 1977 memo for Sequoia's investment into Apple Computer. #Apple50
I'm joining SpaceX and xAI, working closely with Elon and team to build superintelligence.
Together SpaceX and xAI combine physical and digital intelligence under a leader who understands hardware at the deepest level. Add a high-agency culture with frontier-scale resources, and you get the possibility to achieve something truly unique.
I’m excited to advance the fields I’ve obsessed over for years, from robotics research to building AI models on the founding teams of Mistral and TML. Both were extraordinary journeys with extraordinary people that shaped how I think about building intelligence from the ground up.
Grateful for everything that brought me here and can’t wait to get started.
This morning, at the sidelines of the Inclusive FinTech Forum, Minister @MusoniPaula launched Innovate Rwanda, a national digital gateway connecting startups, investors, innovation hubs, and ecosystem partners to accelerate collaboration and scalable solutions for Rwanda and Africa.
“It will provide innovators and partners with an environment to experiment, collaborate, and develop solutions that address real challenges across digital finance, public services, and cross-border trade.”
Access the platform here: https://t.co/aQfVlOhmYz
@UNDP_Rwanda@InnovateRw@RISARwanda
My first app got approved on the @GooglePlay Store.
Meet YScroll.
An app I built to stop endless scrolling and help people take control of their time.
Closed beta starts now for the next 2 weeks.
If you want early access:
👉 https://t.co/QROpiPhfAk
I’m 16 y/o, and I built this app to help people reclaim focus and use their time intentionally.
The app is completely free
If you want to support the journey:
👉 support: https://t.co/p8lntFOj5Y
Introducing Perplexity Computer.
Computer unifies every current AI capability into one system.
It can research, design, code, deploy, and manage any project end-to-end.
Starlink is connecting more than 10M active customers with high-speed internet across 160 countries, territories and many other markets.
Thank you to all our customers around the world! 🛰️🌎❤️ → https://t.co/frkXm70PTh
Ulikuwepo wakati Dr. Salim akilitumikia taifa kama Balozi katika mataifa mbalimbali, kisha Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi? Ulikuwepo wakati Dr. Salim akiwa katibu mkuu wa Umoja wa Afrika?
Tuambie kwa kifupi sana kuhusu uongozi wake. Kuna vijana wanasoma comments ili kujifunza kuhusu kiongozi huyu ambaye ni tunu ya taifa.
Alichukua Uwaziri Mkuu baada ya msiba mkubwa wa kuondokewa na Waziri Mkuu Sokoine. Nchi ilikuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Maduka hayakuwa na bidhaa. Watu hawakuwa na nguo za kuvaa.
Viatu vyangu vya kwanza kuvaa viliitwa ASANTE SALIM. Vilikuwa viatu kutoka BoraShoes, kiwanda cha Umma. Salim alielekeza kiwanda kizalishe viatu vya bei nafuu ili watoto wa shule za msingi wavae viatu. Mie ni mfaidika wa uamuzi ule. Alipokuja kwetu Kigoma nikiwa darasa la pili Shule ya Msingi Kigoma nilipanga mstari kumwona akipita barabarani. Niliapa kuwa nitakuja onana naye nikiwa mkubwa.
Nilipopata safari yangu ya kwanza nje ya nchi nikiwa Chuo Kikuu mwaka wa Kwanza 1999 nilipita Uwanja wa ndege wa Bole jijini Addis Ababa. Nilikuwa nakwenda Accra Ghana. Nikaenda kibanda cha simu kupiga simu makao makuu ya OAU kuongea na Katibu Mkuu wa OAU. Ilikuwa simu za kulipia kwa sarafu. Sekretari akachukua muda mrefu kuniunganisha. Hela ikakata. Kiu ya kuongea na Dkt. Salim haikukidhi.
Mwaka 2002 ndio nikapata bahati ya kumwona sura kwa macho. Niliongoza kundi la wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tulokwenda nyumbani kwake kumkaribisha nyumbani baada ya kumaliza muda OAU na kuibadilisha kuwa AU.
Maneno yake ambayo kamwe siyasahau na kuwa nayanukuu mara kwa mara ni "tukiwa na Afrika Kusini yenye demokrasia imara, Kongo (DRC) yenye amani/utulivu na Nigeria inayojitambua hakuna atakayeigusa Afrika".
Toka siku hiyo Dkt. Salim alikuwa 'mentor', baba, mlezi na rafiki wa kudumu mpaka leo. Mola ampe afya njema. Alikuwa Waziri Mkuu wa mwisho wa Nyerere na Waziri Mkuu kweli kweli. Waziri Mkuu wa mageuzi!
Today Northwood has raised $100M in Series B funding led by @WashingHarbour and co-led by @a16z to support a simple objective – take space missions further faster.
This financing follows millions in signed contracts including a $49.8 million contract with the Space Force to support the Satellite Control Network – critical infrastructure used for launches and early satellite operations, to track and control satellites, and to provide emergency support to tumbling and lost satellites.
This has been said a thousand times before, but allow me to add my own voice: the era of humans writing code is over. Disturbing for those of us who identify as SWEs, but no less true. That's not to say SWEs don't have work to do, but writing syntax directly is not it.
- 10.JAN.2026 -
Congratulations to our Super Eagles players on a brilliant victory against Algeria! 🇳🇬
You have lifted the spirit of the nation, and we proudly cheer you on as you prepare for the semi-finals.
To encourage you, I pledge USD $500,000 to the players upon winning the semi-final, with an additional USD $50,000 for every goal scored.
Should you go on to win the final, I further pledge USD $1,000,000, plus USD $100,000 for each goal scored in the final.
Wishing you continued success as you carry Nigeria forward.
Keep making Nigeria proud.
Proudly Nigerian 🇳🇬
#ASR
Big milestone for us at @NALAmoney today in Uganda 🇺🇬
I’m excited to announce the Central Bank of Uganda has granted us a PSP + PSO license — our 3rd active licence in the country.
Big shout out to the Central Bank of Uganda for ongoing support.
Still plenty to build as we power payments for #TheNextBillion 🔥🇺🇬