Hii kitu huwa inatia hasira sana. Wengine wanawekeza kwenye viwanja vya michezo na maeneo ya bustani za kupumzikia, ila sisi kila eneo la wazi mwenye visenti anawaza kupora ajenge fremu za maduka au ICDs. Bladifakeni kabisa.
@ze_papiry Wewe uliamua kuuma kichwa tu,na ukachunguza hadi miliki zake si ajabu ulishuudia pia akipata hizo miliki. Ukiombwa saidia usishauri mtu auze miliki zake ILI Hali unaweza piga boost na situation ikawa normal.
WHAT ARE YOU TRYING TO SAY, EXACTLY?!
Naona kama unatapatapa! Umekuwa implicated, clear your name (kama unaona haja na umuhimu wa ku-clear). In Hip Hop tunasema “SHOW N PROVE”
Sisi hatutaki kujua chochote kuhusu Activism Syndrome, wala mifano ya Jaji Chande na kuchoma Nyaraka Moto.
Wewe ni Social Media Influencer? Activist? Journalist? Socialite? Political Analyst? Freedom Fighter? au Digital Entrepreneur?! Na kwanini maneno ya hao activist yakusumbue kiivyo kama unajua kuwa wana syndrome inawasumbua? 🤷🏾♂️
If that ain’t raise more suspicion, what else would! 🤔
Mnakumbuka gari lililobeba wauaji?
Hebu mniambie hii gari ya T555EZP si ndo yenyewe? Maana hii wheelcover na muundo ni samesame!
Wanadunda tu mtaani bila woga!
Alafu litume lije kutuambia eti fyokofyoko!
Hili gari tunataka kujua ni ya nani, idara gani
We need answers!
#TutaelewanaTu
#SamiaMustGo
#TanzaniaMassacre
Hiyo ni jana nikiwa hospitalini mloganzila ndugu zangu nilienda kwajili ya vipimo vikubwa vya xrei tumboni niomeona utumbo ulivyo jaa kinyesi, tatizo lingine linakuja dakitari alipo jaribu kunafanyia kipimo Cha haja kubwa akuta chembechembe ya kinyesi kinatoka akasema.
Wanawake wawili Wakazi wa Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza akiwemo Happynes Muhaji wameelezea jinsi walivyopitia changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma ya kujifungua wakati wakiwa na uchungu na baadaye kujifungua Watoto njiti ambapo wameishukuru Taasisi ya Doris Mollel kwa kuwajengea jengo kubwa la kisasa ambalo limewasogezea huduma bora za Watoto njiti karibu.
Akiongea na Mwandishi wa Habari wa @AyoTV_, Bakari Chijumba, Happynes Muhaji, amesema “Nilijifungua hakulia Mtoto, alitumia masaa manane kulia, namshukuru Mungu kanisaidia sasa hivi anaendelea vizuri, nilipopata uchungu nilitumia usafiri wa pikipiki kwa masaa mawili kufika Hospitali gari hamna, nilipojifungua ilipita wiki moja sijaletewa Mtoto, nashukuru kwa Doris Mollel kwa kutujengea jengo hili, Baba wa Mtoto hanipi ushirikiano ni kwa shida anatoa elfu 10 anasema mpaka mwezi yani ni kwa shida tu nahangaika tu na Mama yangu, nilipopata uchungu akaniambia niende kwa Mama Familia yangu ndio ikanisafirisha kuja Hospitali”
Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kwimba , Dr Fredrick Mugarula, amesema Doris Mollel Foundation (@dorismollelfoundation) chini ya Mkurugenzi wake Doris Mollel (@dorismollel) itamaliza kabisa changamoto ya vifo vya Watoto njiti kupitia uwepo wa jengo hilo lenye vifaa vya kisasa huku akisema kwa Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mwaka 2025 vifo vya Watoto wachanga vilikuwa 120.
“Mwaka 2025 Kwimba
tulipata Watoto 24241 ambao walizaliwa katika Wilaya yetu kwa bahati mbaya katika siku 28 za maisha yao tulipoteza Watoto 146 na katika hao Watoto waliozaliwa kulikuwa na Watoto njiti 1640, takwimu zinaonesha pale Hospitali ya Wilaya ya Kwimba jumla ya Watoto tuliopata ni 3565 na katika Watoto hao Watoto 120 walipoteza uhai sawa na 80% ya Watoto waliopoteza uhai Kwimba, tuligundua kuna changamoto inayopelekea vifo hivyo ikiwemo huduma kama kukosa wodi ya Watoto wachanga tukawa tunabanana sana, tumepata Mdau Doris Mollel Foundation, tumejengewa jengo kubwa sana na nyumba mbili za Wauguzi za kisasa”
#MillardAyoUPDATES
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 208
Wakili wa Serikali
Cathbert: Eeh nini kiliendelea?
Shahidi wa kificho P9 : Nilienda kituo cha Polisi na nilipofika waliniambia ya kuwa nahitajika kama Shahidi hivyo natakiwa nihojiwe tena
Cathbert: Eeh endelea shahidi
Shahidi wa kificho P9 : Walinihoji na kuniandika maelezo yangu na baada ya kumaliza waliniruhusu kuondoka na kuniambia ya kuwa ntapohitajika watanitafuta na aliyenihoja na kuniandika maelezo ni mmoja na mwingine alikuwa akichangia kuniuliza maswali mbalimbali.
Cathbert: Aliyekuhoji kama shahidi alikuhoji kwa ajili ya jambo gani?
Shahidi wa kificho P9 : Alinihoji juu ya kuhamasisha kuzuia uchaguzi na hilo jambo lilianzaje ambapo nilimueleza ya kuwa niliona clip katika mtandao kuhusu huo uhamasishaji na hiyo clip ilikuwa ni ya Lissu akihamasisha kuzuia uchaguzi.
Cathbert: Wahe. Majaji kwa Shahidi huyu ni hayo tu.
Anasimama Wakili wa Serikali Mkude
Mkude: Tuna Hoja hapa kwa kuwa Shahidi kamaliza na muda uliofika tulikuwa tunaomba kama hakuna pingamizi kwa upande wa Lissu tuweze kuendelea kesho na Cross Examination
Mhe. Lissu: Sina Objection
Mahakama : Mhe. Lissu hizi dakika 19 hazitoshi kumaliza Cross yako
Mhe. Lissu: Wahe. Majaji naweza kwenda kwenda ila siwezi ku-promise ya kuwa nitamaliza
Mahakama : Basi for consistency nzuri ya ushahidi tuharuhusu kuendelea kesho asubuhi na mapema na ile hoja ya submission on the notice of List of Additional tunaifanyaje?
Mhe. Lissu: Nilikuwa naomba tukimalizana na P9 kwa kesho tuendelee na mashahidi wengine kisha mwisho turudi kwenye hoja za hiyo submission on Notice of List of Additional.
Mkude: No objection.
Mahakama imehairishwa mpaka kesho saa tatu asubuhi.
Mnisamehe sana leo updates zimesuasua kwasababu afya yangu imeyumba kidogo.
Kuanzia kesho tarehe 17 Februari 2026 itakuwa ni MARUFUKU kuweka SHAHIDI kwenye hilo BOX 👇. Hongera sana Wakili MUTALEMWA na Mawakili wote ULIOSHIRIKIANA NAO.
GIRISHONI always anaiambia DUNIA kuwa Serikali ya Tanzania imepiga marufuku mtandao wa X (Zamani Twitter)…
Hapa @ikulumawasliano wametumia X kutoa taarifa yao, nabaki najiuliza je IKULU inavunja AMRI ya SERIKALI au??!!
NB: Hata yeye GIRISHONI daily yuko X, MATAKO YAKE😎
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya, Jaji K.S Kamana na Jaji W.M Chuma leo limebatilisha Kifungu cha 194 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) baada ya kubaini kuwa kifungu hicho kinampa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) mamlaka makubwa na ya kipekee ya kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa ya kuhoji, jambo linalokiuka haki ya kusikilizwa kwa pande zote mbili.
Mahakama imetoa muda wa miezi 12 kwa Serikali na AG kufanya marekebisho ya sheria hiyo
Kundi la mawakili 13, likiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, liliwakilisha mleta maombi, Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe, katika kesi ya kikatiba namba 22482/2025 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na DPP.
Miongoni mwa hoja zilizowasilishwa ni kuwa sheria hiyo inawaficha mashahidi badala ya kuwalinda, hali inayotoa mwanya kwa mtu mmoja kutoa ushahidi mara nyingi kwa kutumia majina tofauti.
Always tunasema huyu mtu ni mshamba na mjinga. Serikali haijawahi kununua Bentleys wala Maybachs kwa ajili ya Mawaziri…Why usiyatumie kwa matumizi binafsi mpaka uweke Namba za Serikali?
NB: Huwezi kutuvimbia na hela za UFISADI,na wala wewe sio Daimondi. MATAKO YAKO!😎
🧵1. Three months since his last appearance in court, Tanzania’s opposition leader Tundu Lissu is appearing at the High Court of Tanzania in Dar es Salaam today for the hearing of his treason case.