UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.
PDF ina inapages 13 za moto ๐ฅ
Utaipata sasa hivi hakikisha
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako ๐
Repost alafu comment "TAYARI"
Nakutumia ndani ya Sekunde moja
#wekezanami
@Mkunga_Og on why mara nying vinatokea gest ukilinganisha na nyumbani ni kwasabab mara nyingi gest watu wanakamia tofaut na sex zinazofanyika nyumbani ndani ya familia. kingine posibility ya woga na panick ni kubwa gest kuliko hom hvyo kiwango cha stress hormone kinakua juu.
@AdolfuPeter Tumpongeze tu ndugu yetu hizo mambo za mpangilio na nini sijui ni vitu minor sana ambavyo havipaswi kua mada hapa.
Keep it up brother unatuwakilisha kibiti boyz.
@kadutu_rayson Huyo pembeni ya sniper ni geresha, in simple language ni mdoli ili adui akisanuka aanze shoot hilo sanamu alafu mwamba pemben apate ample time yakujirescue.
@fufanchy nowdays ni ngumu sana kumlea mtoto wa kiume kuliko mtoto wa kike, mtoto wa kiume ni stress. kuanzia kwenye tabia mpaka occupation. tuombe sana mungu.