@Tanfootball@tplboard@NBCTanzania@azamtvtz TFF na bodi ya ligi jifunzeni kuwaheshimu mashabiki, wafanyabiashara na wawekezaji katika soka letu. hii tabia ya kuahirisha mechi kwa sababu ambazo zinaweza kuzuilika sio jema kwa maendeleo yetu kisoka. Tunaanza kuendesha mpira kama Siasa, TUBADILIKE watu wanatumia gharama sana
TFF na bodi ya ligi jifunzeni kuwaheshimu mashabiki, wafanyabiashara na wawekezaji katika soka letu. hii tabia ya kuahirisha mechi kwa sababu ambazo zinaweza kuzuilika sio jema kwa maendeleo yetu kisoka.
Tunaanza kuendesha mpira kama Siasa, TUBADILIKE watu wanatumia gharama sana
@tplboard@Tanfootball@NBCTanzania@azamtvtz@TBConlineTZ Kariakoo Derby ina mambo mengi sana. Sizani kama haki za mashibaki wa mpira, wafanyabiashara na wenye hati za matangazo wanazingatiwa katika maamuzi yanayotolewa na hizi yimu pale zinapojaribu kukwepa baadhi ya michezo.
Hii inahitaji adhabu kali sana kwa wale wote wanaokwepa
Brother with this Orania interview, you nailed it. Despite all racism theories, Orania gives lessons in all aspects. Africa suffers poverty because of Politics and corruptions.
Orania has developed their community
roads, farming technology, power, schools, water without Loans
๐๐ The Fuchun Mountain Residence Chinese Style Spring Festival #Lantern Show is now in full swing along the Fuchun River. The Fuyang Water Sports Center, hailed as the "Most Beautiful Waterfront Asian Games Venue", is illuminated with a stunning array of beautifully crafted #lanterns, making for a mesmerizing visual display.๐ฎ
@earadiofm Kwa pande zote mbili yaani Mmiliki, Dalali na Mnunuzi/ Mpangaji. Inapotokea changamoto yoyote kuna kuwa na myu ambaye ni mhusika moja kwa moja na anatakiwa kuwajibika ka.a ilivyo kwenye mkataba.
Hii ni fursa, watu waanzishe makampuni rasmi kutatua changamoto hii wapate fedha.
@earadiofm Usimamizi wa nyumba za biashara za makazi kwa Tanzania bado ni Tatizo. Hakuna mifumo rasmi inayowatambua madalali. Katika nchi zilizoendelea kuna REAL ESTATE AGENT COMPANIES zinayotambulika kisheria na yana mifumo rasmi na rafiki