na mwezi Mei zitapokelewa seti 2,juni seti 2,julai seti, septemba seti 2 na seti ya mwisho mwezi oktoba 2024
Shirika la reli linaendelea kupokea kwa awamu vitendea kazi kwa ajili ya uendeshaji wa reli ya kiwango cha kimataifa.
SETI MPYA ZA TRENI ZA KISASA KUWASILI NCHINI MACHI 2024
DAR ES SALAAM
Serikali kupitia shirika la reli inatarajia kupokea seti ya kwanza (1) kati ya seti 10 za treni za kisasa (EMU) mwezi Machi 2024
Wanafunzi zaidi ya milioni moja wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2024.
Maandalizi ya kuwapokea yanaendelea. Kama ilivyokuwa kwa miaka miwili iliyopita ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, wanafunzi wote wataanza masomo kwa pamoja.
#MamaYukoKazini