Kaka @zittokabwe habari yako!
Umekuwa mkali baada ya Mkuu wa Majeshi Uganda, Dikteta Muhoozi Kainerugaba kutoa agizo la kufunga vituo vya NTV na gazeti la Daily Monitor, ukisema ni shambulio dhidi ya uwekezaji wa Kitanzania.
Nyumbani kwetu hapa, kituo cha JAMBO TV (kinachomilikiwa na rafiki yako, John Marwa) kimefungiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa siku 90 kwa kukiuka kanuni zao.
JAMII FORUMS, ilifungiwa kwa siku 90 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Septemba 2025 kwa tuhuma za kuchapisha maudhui ya kupotosha na kudhalilisha serikali. Hukupaza sauti kabisa.
Walistahili kupiganiwa ipasavyo kwa wewe kupaza sauti. Unatetea maslahi ya matajiri (tycoons) wa kisiasa waliowekeza nje ya nchi wakati huo ukipuuza ukandamizaji wa vyombo vya habari ndani.
Unakaa kimya wakati JAMBO TV inafungiwa hatua inayoumiza waandishi wa habari wa Kitanzania moja kwa moja, unasimama kutetea maslahi ya kampuni ya Mauritius inayofanya biashara Uganda.
Kwamba kufungwa kwa vyombo hivyo Uganda ni pigo kwa uwekezaji wa Watanzania? Muundo wa kampumi ya TAARIFA LIMITED unapingana na hoja yako ya msingi. Huo siyo uwekezaji wa Kitanzania.
TAARIFA LIMITED ni kampuni ya uwekezaji (investment holding company), ilichaguliwa kama muundo wa kisheria kwa ununuzi wa hisa kubwa katika kampuni ya Nation Media Group (NMG)
Ilitumika katika ununuzi wa hisa (54%) katika kampuni ya Nation Media Group (NMG), kupitia kununua NPRT Holdings Africa LTD kutoka Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED).
TAARIFA LIMITED, ambayo ilichukua 54% ya hisa zilizokuwa za Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) ndani ya Nation Media Group (NMG) imesajiliwa MAURITIUS siyo Tanzania
Kisheria na kiuchumi, uwekezaji uliosajiliwa katika maeneo yenye nafuu ya kodi (tax havens) kama MAURITIUS haunufaishi uchumi wa Tanzania moja kwa moja. Siyo ‘Tanzanian-owned businesses’
Hakuna namna fedha zinazozalishwa na vyombo hivyo nchini Uganda zitakavyoingia kwenye mfumo wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (foreign reserves). HAIPO
Zinaishia akaunti za mabenki ya kigeni Mauritius au kwingineko. Mauritius inajulikana kwa kuwa na mikataba ya kuzuia utozaji kodi mara mbili (Double Taxation Avoidance Agreements - DTAAs)
Inapotokea kampuni imeuza hisa zake au inapata faida, kodi ya faida inalipwa MAURITIUS (ambako viwango ni vidogo au ni sifuri) badala ya Tanzania au nchi ambako biashara halisi inafanyika.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haiwezi kudai kodi ya mapato (income tax) ya moja kwa moja kwenye miamala inayofanyika chini ya mwavuli wa kampuni iliyosajiliwa katika nchi ya Mauritius.
Kampuni ikisajiliwa Mauritius, iko chini ya sheria za makampuni Mauritius. Tanzania haina mamlaka ya kisheria (jurisdiction) kuhoji muundo wa utawala, akaunti za benki, uwazi wake wa kifedha.
Kodi, faida, na miamala ya kimkakati ya kampuni hiyo haiingii katika mfumo wa mapato ya ndani wa Tanzania. Huo siyo ‘uwekezaji wa Kitanzania’. Labda utafute jina lingine la kuita huo uwekezaji.
Faida inayopatikana kupitia mianya hii ya tax havens hairudi kama kodi ya kujenga shule, hospitali au barabara, ni pesa za mifukoni za wafanyabiashara wakubwa wa kisiasa na makada wa CCM.
Fedha hizi ndizo zinazotumika kufadhili harakati za kisiasa za ndani, ikiwemo kampeni za uchaguzi na matukio ya ukandamizaji wa kisiasa kama yale yaliyoshuhudiwa nchini mnamo Oktoba 29.
Badala ya kuhoji ni kwa namna gani uwekezaji huo wa Taarifa Limited katika vyombo vya habari vya Uganda unamsaidia mwananchi wa kawaida wa Tanzania, unakuwa mtetezi wa biashara za MaCCM.
Unapigania maslahi ya matajiri ambao wanatumia faida zao kudhoofisha demokrasia. Unasikitikia uwekezaji uliosajiliwa Mauritius usiokuwa na tija ya kodi au ajira ya moja kwa moja kwa Mtanzania.
MMM, Martin Maranja Masese, Masese
REPOST 500
Dear United States Senate,
Tanzania's Minister of Foreign Affairs, Mahmoud Kombo, recently spoke in the Tanzanian Parliament in Dodoma, claiming that your proposed bill to impose sanctions on Tanzania is politically motivated. Additionally, Bulayo, another member of Parliament, expressed concerns that the bill does not provide them an opportunity to defend themselves, arguing that you have never visited Tanzania to discuss these issues directly with them.
This assertion is problematic. The Tanzanian regime is the one refusing to allow a fact-finding mission from the EU Parliament's Human Rights Committee, as well as refusing to invite the SADC or UN Missions. They are also uncooperative with the AU Mission, which is an international, independent commission. Now, the regime pretends to extend an open hand to the US Senate. Your proposal suggests that a UN Mission visit Tanzania to address this issue.
Moreover, Tundu Lissu remains in prison under politically motivated charges. Do you need to visit Tanzania to know that Tundu Lissu is imprisoned? You have proposed that he and other political prisoners be released, and you do not need to be in Tanzania to confirm this situation. Kidnappings are occurring, and Tanzanians need constitutional reforms, yet the regime shows no effort to facilitate this process. Your stance reflects the perspective of many Tanzanians but runs counter to a regime that does not represent the people. In fact, Kombo has stated that they will not release Lissu, underscoring the urgency of voting on your sanctions as soon as possible to take action against the regime.
Kombo further claimed that the Tanzanian government would cover your travel and accommodation expenses if you were to visit and better understand the context of police shootings that have resulted in the deaths of thousands of citizens who were allegedly accused of throwing stones at police officers. He also wants to discuss the fatal shootings that occurred on October 29, 2025.
This raises an important question: Is it appropriate for US officials to accept travel expenses from foreign governments while performing their official duties? For instance, can a senator accept funding from the Tanzanian government while investigating events surrounding election day?
In simpler terms, the Tanzanian government is suggesting that it will attempt to influence you to support its position, assuming that you might be motivated by political deals. This government has a history of trying to bribe individuals for praise and support, thereby positioning you alongside others viewed as corrupt and lacking integrity.
The regime must be held accountable for its actions, including revealing who ordered the police to shoot and kill innocent citizens. They need to explain what happened to the thousands of bodies that were left in the streets and where these bodies have been taken. We deserve to see the final respects and burial services for our brothers and sisters. There are reports that bodies from various mortuaries across the country have been taken to a mass grave, while others have been buried in undisclosed locations.
Cc.
@tedcruz@SenatorShaheen@SecRubio@SenateForeign@SenTedCruz@SFRCdems@statedeptspox_a@StateDept@AsstSecStateAF@usembassytz@UNHumanRights@UN_Women@Europarl_EN@USTreasury@FoxNews@cnni@BBCAfrica
Kwakuwa tuko duniani;
Na kwakuwa kuna haki ya asili, haki ya Mungu na haki ya duniani;
Na kwakuwa, kwa wengine, kisasi ni haki;
Na kwakuwa hakuna lililo au litakalofanyika hapa duniani likafichika kamwe;
Hivyo, basi, tunaitazamia haki na aibu ya watesi wetu kwa shauku kuu!
Arteta anasema alishindwa kutazama mechi ya Man City pamoja na wachezaji wa Arsenal, akaondoka dakika 20 kabla ya mechi.Alipofika kwake akakuta wanatazama mechi hiyo, akaamua aende kuchoma nyama nje. Mpira ulipoisha familia yake ikamfuata nje kwa furaha wakamwambia Arsenal bingwa
Hello @rioferdy5
In case you dismissed us here is the Daily Mail catching you with your pants down!
How much were you paid for this repugnant sportswashing?
@FCDOGovUK should look more closely at your activities - it cannot be legit!
Leave now and disown this criminal violent outfit masquerading as a govt in #Tanzania
Leave now!
Right time, right person, right action taken. Just a day ago, Faustine Jackson Mafwele and his hit squad abducted the main opposition leader @TunduALissu’s aide, David Djumbe. They tortured, assaulted, and handcuffed him. David only survived because brave bodaboda riders intervened and chased the abductors.
This is the reality Tanzanian activists and opposition voices face under repression and state terror. Thank you, Secretary @SecRubio and your team (@StateDeputySpox, @StateDept) for finally putting Mafwele in check.
Still, more work needs to be done in Tanzania before the country spirals into a deeper crisis like Nicaragua or Nigeria. Prevention is better than cure. We appreciate everything you are doing to protect human rights and freedom of religion. Silence only empowers abusers.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Rio Ferdinand is accused of 'sportswashing' after he publicly backed the government of Tanzania - where protestors are killed
✔️ Safari ya Rio imesaidia sana kusambaza ukatili wa Makonda , AFCON labda tujitoe mapema hakuna wageni watata deal na Makonda https://t.co/2hoxAz7EGm
ASANTE kwa Wanasimba waliokuja jana uwanjani kutushangilia na ambao walikuwa mbali nasi kimwili lakini wakituombea ushindi.
Pamoja tunasonga mbele ✊ #NguvuMoja
US sanctions Tanzania Police Senior Assistant Commissioner Faustine Mafwele, barring him from entering America over the May 2025 detention and torture of Kenyan activist Boniface Mwangi and Ugandan Agather Atuhaire in Dar es Salaam. https://t.co/RTkDCUYJ04
BREAKING: Mafwele apigwa ban na USA
Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Tanzania, Faustine Jackson Mafwele, kwa tuhuma za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Amefungiwa kuingia Marekani.
#SamiaMustGo#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu
Tume ilifika KAHAMA , KATORO na GEITA ? Ile namba uliyosema inaweza kuwa sio ya mwisho pengine unaweza kuipata huko. Hakuna mbinu, mateso wala vitisho yatakayo funika damu iliyomwagika. Hakuna. Ni habari ya muda tu.
Mpendwa Charles Hilary,
Katika kumbukumbu ya siku ya kifo chako, nataka nikujulishe huko mbinguni kwamba Arsenal F.C. hatimaye wamechukua ubingwa wa ligi baada ya miaka 22. Bado nakumbuka ulipokuwa hapa London — tulikuwa tunaenda uwanjani na kwenye duka la Arsenal kununua vifaa vya timu, na kuzungumza kuhusu mpira muda wote. Leo imenikumbusha sana nyakati zile pamoja na wewe.
Nakumbuka jinsi ulivyoipenda Arsenal, na hata tulipokuwa tunatangaza mechi za EPL kwa BBC Swahili, namna ulivyokuwa umeifungamanisha moyo wako na timu hiyo ilikuwa kitu cha kipekee sana. Ningetamani ungekuwa hapa kushuhudia mafanikio haya makubwa ya Arsenal. Baada ya miaka 22, wamekuwa mabingwa tena, na pia wamefika fainali ya UEFA Champions League ambayo itachezwa mwishoni mwa mwezi huko Hungary. Najua ungekuwa unaishangilia timu yako kwa furaha kubwa sana.
Ingawa haupo tena nasi, kumbukumbu zako, vicheko vyetu, na mapenzi yetu ya pamoja kwa mpira vitaendelea kubaki moyoni mwangu daima. Pumzika kwa amani ndugu yangu. ❤️
#Tanzania
"Celebrity visits do not happen in a vacuum — they send a message — and this has all the hallmarks of sportswashing. We urge [@rioferdy5] to speak out about these abuses and to use his platform responsibly." -@felixjakens
https://t.co/RFFTDq70Xk @martynziegler
Watanzania, Msiwe na wasiwasi. Kila wanapo pita sisi tunaenda kufanya usafi. Wanamdanganya mama yao kwa kupiga pesa kuwalipa malobist madola mengi tu. Nilishapita kufanya usafi baada ya mzee wa Vandalist kupita kuchafua hali ya hewa hapa DC. Dunia ipo na sisi.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Je, una video au picha ya mtu aliyeuawa wakati wa uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29?
Ipakie kwenye jukwaa hili salama, jibu maswali yaliyopo, na usaidie Human Rights Watch kurekodi na kuthibitisha yaliyotokea:
https://t.co/iSRQSxd5TP