Viongozi wetu @HecheJohn na Mwenyekiti @TunduALissu, tuko pamoja. Kwa kaka zangu @godbless_lema na @TheRealJongwe, tafadhali kwanini mnaruhusu adui apate mwanya wa kutuvuruga wakati huu mgumu ambao Watanzania wanakiamini chama kuliko kitu kingine? Kwanini mnafanya uhuni huu sasa wakati vita ya haki ina nguvu kali? Msikubali maridhiano yoyote bila uwajibikaji na haki kupatikana! Na kama mnaona mnachukizwa na haki zinazodaiwa ndani ya CHADEMA, ni bora mhamie CCM, ACT-Wazalendo, au CHAUMA kuliko kutuvuruga!
Saba Saba was never meant to be a day of silence. 🇹🇿as reflected in this moment as I write this post, the quiet across many parts of Tanzania says more than words ever could.
I grew up looking forward to Saba Saba-a day that celebrated Tanzania’s entrepreneurial spirit, innovation, and economic opportunity. Families visited the trade fair, businesses proudly showcased their products and services, children dreamed big, and the nation celebrated progress together. It was a day when the economy thrived-not a day when it shut down.
But look at what Tanzania has become. Halafu wakandamizaji wanafikiri wameshinda-no you lost.
When citizens are denied the freedom to peacefully assemble or express themselves because of threats and fear, everyone loses-including those who believe they have won by controlling others.
Today should have been a day of celebration, commerce, tourism, investment, and hope. Instead, many Tanzanians stayed indoors. Fear replaced freedom. Silence replaced celebration. Economic activity shut down and slowed when it should have been thriving.
How is that a victory? Mnajidanganya.
If anything, today demonstrated the power of ordinary Tanganyikans. The mere announcement of peaceful demonstrations was enough to disrupt normal life and brought everything to stand still. Think about that. If simply mentioning a peaceful demonstration can bring a nation to a standstill, then something is fundamentally broken.
So what happens next time? Every time Tanganyikans announce they intend to peacefully demonstrate, will the country shut down again? Is that the future you want?
How do you expect to successfully host AFCON, attract international investment, grow tourism, and welcome global conferences if the world sees a country where fear-not freedom-defines public life? Who will invest with confidence when basic freedoms appear uncertain? None- on the long run- the effects will be noticeable everywhere.
No amount of image management, staged events abroad kama hizi juzi Ufaransa, multimillion-dollar lobbying contracts in Washington, or public relations campaigns will restore Tanzania’s reputation if truth and accountability continue to be ignored. A nation’s image is restored by justice & truth, not propaganda.
That is precisely why many of us continue advocating internationally. The bipartisan U.S. Senate bill to reassess the U.S.-Tanzania relationship has advanced through the Senate Foreign Relations Committee, reflecting concerns raised by both Republicans and Democrats about democratic governance and human rights. We also welcome continued attention from the European Parliament and other international partners calling for accountability and respect for fundamental rights.
This work is not about punishing Tanzania. It is about standing with Tanzanians.
The international community, please continue watching. Continue listening. Continue engaging. Continue standing for justice, accountability, democracy, religious freedom, and the protection of peaceful civic space. Look at Tanzanians today held as prisoners instead of celebrating Saba Saba.
Today was not a victory but another proof of a failing state.
The economy lost.
Businesses lost.
Families lost.
The spirit of Saba Saba lost.
But the desire for freedom did not.
Truth. Accountability. Justice.
Those are the only foundations of lasting peace.
Mark this post. History has a way of remembering who stood for truth when silence was demanded.
And #freetundulissu
@SenateForeign@SenatorShaheen@SenTedCruz@StateDept@usembassytz@EUparliament@EP_HumanRights@amnesty@hrw@freedomhouse@USCIRF@Reuters@AP@AFP@BBCWorld@CNN@nytimes@washingtonpost
Taifa linahitaji Ukombozi wa kweli kama wewe ni Mzalendo wa kweli na unaipenda Nchi yako,
Ni jukumu lako kuweka uoga pembeni na kutoka kupambania Nchi yako ya Tanganyika kutoka kwa Watekaji, Mafisadi, Wauaji na Madikteta wa CCM...
#Tanzania
"[@SuluhuSamia] has been publicly dismissive about...losing western funding in the wake of last October's brutal elections, in which over 500 protestors were killed, and the state authority awarded her an implausible 97-98% the popular vote."
https://t.co/dL4EsRaS8W
‼️HASARA TUPU - MWENDOKASI ULIVYOKOSA WASAFIRI‼️
Leo ingetakiwa mwendokasi iwe bize kurudisha wananchi makeao baada ya mizunguko ya Sabasaba - ila kutokana na UPUMBAVU wa serikali haramu na vitisho leo walijikuta watu 5-10 tu
Hapo Ubungo kwa mfano ndo patupu namna hii saa 1 hadi saa 2 usiku! Hakuna abiria!
Sasa maandamano ni endelevu hadi siku ya kazi ili tuelewane vizuri
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
WATANZANIA TUHAKIKISHE UFUNGUZI WA AFCON NA SIKU ZINGINE MUHIMU ZINAZOKUJA, EITHER HALI IWE KAMA LEO AU TUTOKE KUANDAMANA KWA AMANI!!!!!
YANI MSHIKE MSHIKE MPAKA HAKI IPATIKANE!!!!!!!!!
Hiki ndicho kitakachotokea kama hatutakuwa makini!!
Gavoo itafaulu kutugombanisha wananchi kwa wananchi ili wao wabakie salama.
Wanachokifanya Gavoo ni kuchonganisha raia ili wao wabaki safe.
Wanajitoa kuwa wao sio source.
Kundi moja la raia linaingia kingi na kuamini kuwa maadui wakubwa ni wananchi wenzao (Wanaodai haki)
Na sio Gavoo ambao ndio adui namba 1 na source ya haya yote.
Tutaanza kushambuliana wananchi sisi kwa sisi na kumuacha adui namba 1 akishangilia amefaulu!!
Inasikitisha sana kama kweli deal hii imeondoka Tanzania. Shame, shame, shame! Tumepoteza fursa ya kipekee na smart deal ambayo ingeweza kuleta manufaa makubwa kwa Nchi. Nimeumia sana.
Hata mwaka jana walipoandamana hakuna mtu alidhani wako tayari kwa maandamano ila walipewa consistent messaging for 6 months straight, walijengewa fikra na kupewa habari za kuwapa moyo wa kuandamana for 6 months straight. Kila walipoongia online walikutana na safe space ya watu wenye fikra kama zao tu, hakuna negativity niliruhusu iende kwa Watanzania. Ulikuwa huwezi kukuta comment hata moja ambayo iko tofauti na maandamano.
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.
Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.
Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.
Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.
Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.
Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.
Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.
Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.
Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.
Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.
Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!! Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
A criminal who will never know peace. TZ is shutdown since morning as she fears legitimate protest against her bloody rule. Mnuka damu za watu asiye na maana🚮
Siku ya 7/7 ni siku ya MAANDAMANO ya kitaifa na mpaka sasa yamefanikiwa kwa asilimia 100%.
Nchi nzima ipo ndani kama UTUMBO. Hii ni siku ambayo WAKOLONI WEUSI wamekuwa wakiitumia kukusanya mapato makubwa ya KODI kupitia biashara za 7/7 ila mwaka huu watakula walikopeleka mboga.
HAKUNA SERIKALI BILA KODI ZA WANANCHI-WANANCHI WAMEAMUA KUTOKULIPA KODI SIKU YA LEO NA HIYO IMEKUWA.
MADAI YA WANANCHI YANAFAHAMIKA VYEMA.
#77Tunatoka
Hauwezi kuuwa maelfu ya watu alafu ukataka utuongoze. This is the only truth that Samia Suluhu and her crooks need to accept and bow out. Ni mwendo huu hadi wauwaji mnaende jela, na wananchi warejeshe nchi yao. Heshma ya utu wa Mtanzania itarejea. We’re just getting started!
Unatuambia MAANDAMANO yamefeli wakati hujatoa pua yako nje siku nzima.
Wewe si KATAMBI alikuambia uendelee na shughuli zako kutakuwa na usalama kwanini HUJATOKA?
Hii hali ya kulaza watanzania ndani siku ya muhimu kama hii (7/7) tumefanikiwa na bado siku haijaisha jichanganyeni.