@la_nyasi @TunduLissu@ChademaTz @mdudechadematz @RtTanzania@Getrude_mollel@RashdaZunde@Sisimizi3@dsm_wa@simpleetz @__abdulazack Huo ndiyo upeo wa mwisho wa kufikiri wa vijana wa Lumumba!
Kumzushia mtu ugonjwa hakumfanyi kuwa mgonjwa kweli. Na kwa kweli mnaweza kumtangulia kufa kabla yake kama ilivyokuwa kwa baba yenu wa uovu! Lissu ni mzima na anawasiliana nasi muda wowote!
@sheby_yahya @Mapungo2020 @__abdulazack @Sisimizi3 @ngaso6_ngaso @Hb_cbe_2020@rwabudugu@mgangajoh Kwa jinsi Wanasiasa wanavyotutawala kihunihuni, hawana tofauti na Wanajeshi! Serikali nyingi za "Kiraia" zimesaidiwa na Maaskari kuingia Madarakani. Katiba dhaifu zimewawezesha Wanasiasa kutumia Maaskari kupora Madaraka kwa kupindua matakwa ya Wapiga kura.
@babalao__ Ni Samora Moises Marcel aliyekuwa Kiongozi wa vuguvugu la Vita vya Ukombozi Msumbiji na baadae Rais wa nchi hiyo. Aliuawa katika ajali tata ya Ndege mpakani mwa nchi yake na Afrika Kusini iliyokuwa ya Makaburu.
@thinkbig2025 @__abdulazack @420Cousin@Getrude_mollel @sheby_yahya @Sisimizi3@simpleetz@dsm_wa @la_nyasi Hatudanganyiki. Dunia ya leo ni Kijiji kikubwa. Lissu hajaugua, amekwenda kwa Routine Health Check, yuko mubashara hata sasa hivi. Tunawasilana naye vizuri tu.
Picha hauwezi kuakisi chochote. Labda yako inaakisi ukichaa ndiyo maana unatumia za wenzako! Mtateseka sana.
@CloudsMediaLive Watawakimbiliaje kama watu wanafia mikononi mwenu bila kuwajibishwa? Ni aibu iliyoje Watuhumiwa kuumizwa na kufia Mahabusu!
Awamu ya kwanza Polisi waliipaisha heshima ya nchi na kusababisha nchi kupigana vikumbo wakitaka mafunzo!
@mwaipopojc@JamiiForums Pole kwa kuwaamini Wanasiasa (Si hasa). Gb 2 zitakazozalishwa hazitatutosheleza na kuacha ziada ya kuuza nje! Mahitaji ya Umeme yako juu kabisa na yanazidi kuongezeka, haswa baada ya kusambaza hadi vijijini!
Wanao explore vyanzo vipya vya Umeme wako sahihi.
@thinkbig2025 @__abdulazack @420Cousin @sheby_yahya @Sisimizi3@simpleetz@dsm_wa@DartonIrene Post za kipumbavu kabisa! Bila shaka kila CCM wanaposikia jina la Lissu uharo unagonga kwenye chupi! Lissu yupo salama katika regular Health Check kwa Madaktari waliomtibu!
Nyinyi ndiyo karibu mtaokota makopo.
@thinkbig2025 @__abdulazack @Sisimizi3 @sheby_yahya Shithole mode of thinking! Kwa hiyo Kiongozi yeyote wa CHADEMA akitoka nje ya nchi anautumia Ruzuku!
Mbona CHADEMA walinyimwa na walikuwa wakienda nje kama kawa!
@IAMartin_@kalage_jr Salim Kikeke ni kati ya Waandishi wanaopendwa na kuheshimika sana nchini. Taasisi yoyote itakayomchukua kufanya naye kazi itakuwa imelamba dume.
Kila siku namwombea Dua la kheri.
@Getrude_mollel Subirini CHADEMA watafika huko muda si mrefu. Halafu mfananishe na hao mliowakusanya kwa magari.
Jitahidini sana Kuzuia media zisiripoti ziara za CHADEMA kama mlivyozowea!
@Iddykibua@DrCyrilo Nyinyi ndiyo mnaompotosha! Uwepo wa kwenye Siasa kwa Miaka mingi haumfanyi kuwa Mahiri wa kila idara katika rubaa za Kisiasa. Mnamvimbisha kichwa sasa atakapoharibikiwa mseme "kiko wapi", si tulisema?
@DrCyrilo Well said. Wanaomzunguuka Rais kama Washauri wamepwaya sana na wanafanya makosa ya waziwazi mno!
Inashangaza, na haijawahi kutokea uteuzi unatenguliwa hata kabla ya makofi na vifijo havijakatika!
Sijui Sheria zinasemaje. Natamani teuzi za Washauri wake zisizingatie "vyama".