@AbroadTanzania Kwa wale msiojua n kwann jamaa alikua hachani nywele
Ukwel ni huu uyu mjomba ata upishane naye Leo uwez mjua maisha
Kwanza iyo sura n ya bandia
Sura yake og ata yeye aijui
@HardTweep @mzeewatiba_9 @mshambuliaji Anachokifanya hasani ni msaada wa taulo za kike kwa watoto na hilo sio jambo baya, subirini apoteze pambano ndio museme ameshuka kiwango, ila kutoa msaada au kucheza bonanza sio kushuka hadhi, tumeona samata na Alikiba wana bonanza lao je nao wamefulia?
@HATUKOMI@spana_Konki Suluhisho ni kumuonesha kama yeye mwenyewe amehitaji sio kumlazimisha, maana uwezekano wa kumlinda mwanamke alibalee asigongwe ni mgumu sana, hivyo tunapopingana na uhalisia na lazima yatukute ya watoto kuzalia nyumbani au kutoa mimba, mtoto chini ya 18 anatoa hadi mimba 3 🥲
@HATUKOMI@spana_Konki Naongea hivi mana nami ni muhanga pia nina mdogoangu ana umri wa 16 ana mtoto sasa na kabla amewahi kutoa mimba, sasa huu ushetani na kuolewa kwa hiyari yake kipi ni bora??
@HATUKOMI@spana_Konki Sijasomea udaktari ila jaribu kuuliza madaktari watakwambia kua mwanamke akianza kupata hedhi huyo yupo tayari kubeba mimba na kuzaa, sasa ni kitu gani kitakujulisha kua mwanamke yupo tayari kubeba mimba na kuzaa bila kufa na uzazi ikiwa hata wamama nao hufa pia
@GinTan255@RamadhaanMathey@mshambuliaji Leo nimeona mtu humu tweeter anasema samata hana kipaji na hali yakuwa samata ndio mtanzania mwenye mafanikio kimpira zaidi ya wachezaji wote wa tanzania
@GinTan255@RamadhaanMathey@mshambuliaji Kucheza mabonanza aimaanishi umeshuka hadhi hata maiweza mechi tatu mfululizo anacheza mabonanza na bado haujafanya aache kutwa the best ever, tatizo la tz hua Kuna kikomo cha mafanikio ambacho watu wanakuwekea ukipita hapo wanakupija vita wakati kabla walikua wanakusapoti👇
@HATUKOMI@spana_Konki Kuna wamama wenye umri wa miaka 30 nabado wanakufa kwa uzazi na unawezakuta sio uzazi wa kwanza, hivyo hatuwezi kuacha kuzaa na wasichana kisa kuna wanaokufa nisawa na kuacha kutumia barabara kwasababu kuna ajali hua zinatokea
@HATUKOMI@spana_Konki Ndoa ni zaidi ya kujamiiana ila pia hakuna ndoa bila kujamiiana, kuhusu kufa kwenye uzazi hio ni mipango ya Mungu kama ilivyo kwa magonjwa mengine mtu anaweza kufa na ukaambiwa amekufa kwa malaria wakati wewe unaumwa na kupona wakati mwengine bila hata kunywa dawa👇👇