@EduTalkTz She's depression prison!!! Na anaweza kata moto kwa hiyo depression! Yaani hata usingizi hapati anawaza uchaguzi tuu. Tunaweza mpoteza kabla ya October akiendelea hivi
Polisi inafanya haya mambo ya kijinga Serena Hotel
Hapo kuna watalii na viongozi wa kimataifa
Kwa nini serena Hotel imeruhusu huu ujinga kutokea ndani ya Hotel yenye Wageni?
Kosa la @bonifacemwangi ni nini mpaka kumsumbua hivi ?
@LMwasomola43042@mangekimambi Jeshi tulilonalo lakifala sana, bora uongozi wa mboma, msuguri na mwamunyage... aliyepo kala kijooo kalala hana habari na nnchi
Basi wasomaji wa kote kwenye subscription channel na kwenye Mange Kimambi App wote wameniamuru content hii ije kwenye public sababu ni public interest.
.
Hii ni list ya mwezi April 2025 ya transfer viwanja vinavyotakiwa kubadilishwa majina kwa wamiliki wapya. Yani mtu akininua kiwanja, huwa ardhi wanafanya transfer za hati, so hii ni listi ya April ya watu walionunua viwanja na wakapeleka application ardhi ili wapewe hati za majina yao.
.
Bashite kanunua viwanja vya karibia dola laki 4, yani mwezi wa 4 2025 Bashite katoa 1billion cash kununua viwanja tu. Msaidizi wa mama yule Waziri Salum yeye katoa $130,000 kununua viwanja.
.
Nimeambiwa list ya mwezi may ndo itakuwa kiboko zaidi. Viongozi wanenunua property zamabilioni.Hawa watu ndo maana wako tayari kuua nchi nzima kuliko watoke madarakani. Na nimeambiwa kuwa hizo sale huwa zinakuwa kubwa zaidi ya hiyo number hapo ila wanataka viwe under valued so wanapunguza bei. @mariastsehai @godblessjlema1 @tundulissutz @hechejohn
.
.@CAG pesa zilizokosekana kwenye mahesabu hizi huku
.
By the way kimama hawezi kuwachukulia hatua zozozte hao sababu mtoto wake Abdul anafanya ufisadi zaidi ya huu. Nawahakikishia hatua zitakazochukulia ni nguvu kubwa itapelelekwa kujua nani kaachia hizi documents. Yani kama namuona kimama, ndio order atakayo toa, kwamba atafutwe aliempa Mange hii list. TISS itaacha kazi zoote wiki hii kutafuta listi imefikaje hapa na sio kudili na hao viongozi mafisadi. Nitawaleteeni feedback ya nguvu itayopelekwa kule ardhi kujua leak imetokea wapi.
.
.
.
UPDATE
Kuna MDAU kaja kuniambia sasa hivi kuwa huyo Nyambuli Mashauri ambae kamfata Waziri Salum Hapo kwenye listi huyu ni yule mpambe wa Rais anaevaaga sare ya jeshi. Ila Iโm not sure kama ni yeye.
UPDATE
Deo Ndejebi pia yuko kwenye hii list ya mafisadi.
@lifeofmshaba Sina hata huo muda... kajiandikeshe mwenyewe kisha jipigie kura mwenyewe... tupige kura za nini wakati mpizani wako umemfunga na hujampa nafasi ya kugombea?
Taarifa ya kumzuia wakili @MarthaKarua na Mawakili wengine kuingia Tanzania. Inathibisha udikteta ambao hata wakoloni hawakufikia, Mwl Nyerere aliposhitakiwa mawakili hawakuzuiliwa kuja kumtetea, viongozi wengi waliopigania Uhuru walitetewa na mawakili kutoka nje.
Hata Museveni hajamzuia Martha Karua na mawakili wengine kuingia kumtetea Kiza Besigye.
Nchi iko kwenye hali mbaya kuliko wakati mwingine wowote.