TECH 101 #6
Namna ya kuscan mafaili kwenye computer kwaajili ya kuyaweka sawa mafile yote ambayo yamekuwa corrupted
-Bonyeza windows kisha tafuta cmd,chagua run as administrator
-Andika sfc/scannow kisha bonyeza enter
-Itaanza kuscan na ikimaliza itakuwa taarifa ya kilichotokea
HACK 101 #1
Namna ya kuweka shortcut ya BIOS
-Right click kwenye screen ya computer
-Chagua new then chagua shortcut
-Andika shutdown /r /fw /t 1
-Bonyeza next
-Andika jina la shortcut yako
-Bonyeza finish
-Right clixk kwenye hiyo shotcut
-Chagua properties
-Bonyeza advanced
TECH 101 #1
PC(WINDOWS) IWE KWENYE KIWANGO CHAKE CHA JUU CHA UFANYANJI KAZI..
-Kwenye computer yako bonyeza windows + R
-Andika sysdm.cpl kisha ok
-Category ya Advanced utaona Perfomance...bonyeza Settings
-Chagua ADJUST FOR BEST PERFOMANCE kisha apply then ok..