Nishawai toka Mbezi mwisho hadi Iringa na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!
Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!!
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
@kaji_sijo Hawa wanatuokoa sana, sisi ambao hatutaki mahusiano ila tukitaka kupunguza haja tunapata kwa wakati, hawa ukienda nao fresh ukame kwako mwiko.
Afu akija anakupunguzia kweli uzito demu inakuja gets na kijora tu bila pant mamae. Afu hela wanaomba ila sio hela ya mtaji kama wachaga