Blogger wa Nigeria ni kama Kabudi alimwambia wewe usiwe na wasiwasi Watanzania ni mambumbu, ukileta hiyo Documentary wataamini tu na watakupongeza sasa jamaa anashangaa kabla hata Documentary haijatoka tayari Watanzania wamempika mpaka kaiva.๐
MATUMIZI YA BAJETI YA TAMISEMI 2025/26
1. Gari ya Mkuu wa Mkoa Simiyu - 420,000,000
2. Gari ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma - 420,000,000
3. Gari ya Mkuu wa Mkoa Arusha - 420,000,000
4. Gari ya Mkuu wa Mkoa Dodoma - 420,000,000
5. Gari ya Mkuu wa Mkoa Kagera - 420,000,000โฌ๏ธ
@LucasMagesa6@ReganTesla_ Mtoa hoja alimaanisha wito wa watu kutenga muda wao kusikiliza, haimaanishi wa sasa hawezi kuhutubia swali je watu watamsikiliza kwa umakini kama walivyofanya kwa Ben?
@EduTalkTz@ezekiel_kamwaga Huruma ??? Serious kabisa? Kama angekuwa na huruma angesaidia kuwapata waliompiga risasi. Yale mengine ni haki yake kama mhunge kwa kipindi kile. Waandishi wa habari wamekuwa wa ajabu kabisa, wanashindwa kuhoji mambo ya msingi wanabaki kwenye UCHAWA.