Huyu DC achukuliwe hatua kali, pamoja na kuwa ukatili haukubaliki kipindi chochote, lakini ana uthubutu wa namna gani kumpiga binti hadharani kabisa kwenye siku 16 za kupinga ukatili???.
Pia ni kukosa maadili ya uongozi
@maendeleoyajami@Dr_DGwajima@MwananchiNews@TheChanzo
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa katika orodha ya Forbes ya Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2022.
Jarida hilo limeeleza namna alivyopambana na janga la UVIKO19 lililokuwa limeiathiri Tanzania na dunia wakati akitwaa madaraka Machi 2021.