Help young people. Help small guys. Because small guys will be big. Young people will have the seeds you bury in their minds, and when they grow up, they will change the world.” –@suhaybmo..
NAULIZA:Tutategemeaje wanafunzi wa S/Serikali wafaulu; wakati mwalimu hajapewa stahiki zake na kwa wakati? Miaka 2 hajapandishwa daraja,hajalipwa malimbikizo; juzi tu anaongezewa elfu10 ktk mshahara na makato lukuki.Atajenga kweli?Atafundisha kwa weledi?au afundishe kama charity?
@MarekaMalili alikuwahi kumwambia mtu fulani jamii ya wewe "hivi ilikuaje ukafanikiwa kupata `Internet access'?
Hao mabinti tunaowapigania wapate pedi bure wamezaliwa na mama zao peke yao? Au wewe mgumba?Hata kama ndiyo,baba yako hana wasichana,mjomba yako?😎
Cc @UpendoPeneza Go https://t.co/eF8Iy7fhEp
" Tulia kajiuliza, hivi naendeleaje kuwa Mbunge wa mshahara na posho, kila hoja nikiipeleka CCM wanaipiga, chama changu kina mgogoro,ukiongea na Seif Lipumba anakufukuza, ukiongea na Lipumba Seif anakufukuza,kwanini nisiende CCM?"
#Politikisi@MarekaMalili@Chahali@KennedyMmari