🎉TON FESTIVAL WEEK 🎉
TON Ecosystem is getting so much attention and GOATS wanna honor these great successes to NOT & DOGS Communities.
Therefore we’re throwing a Festival Week for $NOT & $DOGS Holders with a reward pool of $300 💵
✊ Here’s the mission:
1️⃣ Join https://t.co/WxYSHzuJDj & complete TON FESTIVAL mission
2️⃣ Retweet this post
3️⃣ Tag a $NOT or $DOGS Holder in a comment section
“The amount of tokens you hold won’t be accounted. You just need to hold either $NOT or $DOGS token to be qualified”
💸 Rewards:
- 3 lucky $NOT Holder will get $50 in $NOT each!
- 3 lucky $DOGS Holder will get $50 in $DOGS each!
Let’s get the party started. Join $GOATS today!
Yaani @ummymwalimu Umeumia Kwa kiwango kikubwa namna hiyo kutenguliwa uwaziri mpaka unaogopa comment!?? Kwa hiyo hata hili LA @DocFaustine Rais anapongezwa!? Nyie nani amewaloga!? Mnatia mpaka kinyaa jinsi mnavyomsifia. Hivi yeye kweli hajisikii vibaya!?
UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.
PDF ina inapages 13 za moto 🔥
Utaipata sasa hivi hakikisha
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako 📌
Repost alafu comment "TAYARI"
Nakutumia ndani ya Sekunde moja
#wekezanami
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wafanyabiashara ya Qatar Sheikh Faisal bin Qassim Al Thani aliyeambatana na ujumbe wa Wafanyabiashara wakubwa, Doha tarehe 06 Oktoba, 2022. @venusnyota
@KibwanaShomar15 Ndg zangu poleni na majukumu.
Mimi naitwa mikemo william naishi mbagala zakiem .
Ndg zangu naombeni msaada ili niweze kupata matibabu ya huu ugonjwa unanisumbua sana.
Hosptal nimeambiwa nitoe tsh 300,000 ili nifanyiwe operation na sindano . Pia nakushukuru dada RAHMA🤝🏻
"Nimeagiza jambo liwepo [nyongeza ya mishahara], mahesabu yanaendea, tutajua lipo kwa kiasi gani."- Rais Samia Suluhu Hassan, Mei Mosi 2022
👉wanaofanya kazi wataona mabadiliko kwenye pay slips
👉waliosubiri tangazo hadharani ili wapamdoshe bei vitu poleni
CLASSY and FINEST
@Kwembe18@kigogo2014 Wanaobeza wanaowasemea ndio wajinga maana wao wameshindwa kuwasemea shida mnayopitia badala yake wanawabeza wanaowasemea, hao ni adui kwenu inamaana hawapendi maendeleo yenu wanapenda kuona mnaendelea kuteseka