@Officialsantan8 BhaDo Ina sababu nyingi za kuendelea kuishi embu Muombe Mungu kwanza atakusikia maana yeye hakuna analoshindwa hara Kama umeombaa hujajibiwa vile ulivyotaka bhado Mungu anakupenda ma no way dhamani mnoo
Polisi wenye silaha wamemvamia Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Bukoba Mjini Chief Karumuna, ambapo Polisi hao wamepiga mabomu ya machozi kisha wakaondoka na mgombea huyo na watu wengine 6, chanzo cha kukamatwa kwake bado hakijafahamika, tutawaletea taarifa zaidi...
wajumbe msijali kuhusu jinsi ya kupata followers mimi ndo najua.
Kila anayesoma huu ujumbe akufolo unapata +5K plz mfuate kila mmoja, plz kuwa siriazi
Dondosha handle๐๐๐๐๐๐