June 22, 2022 Zanzibar. @TAMWA_ chini ya mradi wa IMS (International Media Support) imefanya mafunzo kwa wanahabari juu ya ujumuishwaji wa masuala ya kijinsia na uongozi katika vyombo vya habari kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kuandika habari zenye mlengo wa kijinsia.
Letter N adventures with Akili😍 Visit @akiliandme on youtube to enjoy more learning stories with your kid. You can also download Akili's Alphabet App (available on both Android and iOS).
👉 https://t.co/LHM8Nlor74
#wordsandsounds#readwithakili
CRC leo tarehe 25 May, 2022 imeshiriki mkutano wa wadau na Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Makundi maalum, Wanawake na Watoto kwa ajili ya kuandaa Mpango M wa Taifa wa Kupambana na Ukatili kwa Wanawake- MTAKUWA Karimjee,DSM. @TAMWA_@tgnptz@godfreyabely2@maendeleoyajami
31st May CRC participated in a dialogue session on 2023 Tanzanis annual work plan @ C-Sema offices.The session was part of the implementations plans facilitated by World Federation Against Drugs-East Africa Network.@winharder_@JacklineVictor5@GjAssenga@Csema@wfad@TAAnet_tz
@TAMWA_ na @ZainaFoundation June 15,2022 waliwakutanisha wadau wa haki za kidijitali kujadili mrejesho wa tafiti waliyoifanya juu ya uzimwaji wa mitandao nchini wakati wa matukio mbalimbali kama uchaguzi, pamoja na namna bora ya kuzikabili changamoto hizi pindi zitapojitokeza.
@TAMWA_ Leo Juni 18, 2022 kama mmoja wa wanachama wa mtandao wa @EndCEFM imeshiriki katika mdahalo wa kuangazia mabadiliko ya sheria ya ndoa ya 1971. Mdahalo uliandaliwa na mtandao huo kwa kushirikiana na @MsichanaUwezo kama sehemu ya maadhimisho ya #DAC2022#ZamuYaWabunge
Leo Juni 20,2022 @TAMWA_ imetembelewa na wanafunzi wa chuo cha uwandishi wa habari kwa vitendo (Practical School of Journalism - PSJ) kwa lengo la kujifunza masuala ya usawa wa kijinsia pamoja na umuhimu wa mwanahabari katika kuelimisha na kupinga vitendo vya ukatili wa jinsia.
Tarehe 16 Juni, ya kila mwaka, Nchi wanachama wa Umoja wa Africa ikiwemo Tanzania huadhimisha #SikuYaMtotoWaAfrika. Kauli mbiu ya Kitaifa kwa mwaka huu inasema “Tuimarishe ulinzi wa Mtoto; Tokomeza Ukatili Dhidi Yake: Jiandae kuhesabiwa" #ZuiaUkatili kwa watoto #DAC2022
Let the fun learning continue with Akili and her friends as they learn how to put short sounds together to build a word! Subscribe to @akiliandme youtube channel for more learning videos. #wordsandsounds#learnwithakili
👉 https://t.co/PyOnVAR6Te
#HappyFamilyDay kama kauli mbiu ya mwaka huu inavyosema: ‘Dumisha amani na upendo kwa familia imara, jitokeze kuhesabiwa’ #TAMWA tunawakumbusha wanafamilia kuepuka migogoro inayopelekea kusambaratika kwa familia na kuacha watoto wakikosa malezi bora. #FamilyDay#ZuiaUkatili
Serikali Panueni hizi barabara, wekeni Kingo. Wa miguu,Baiskeli na Bodaboda wawe na sehemu zao. Hii ajali imesemekana Chanzo ni Dereva wa Lori kujaribu kumkwepa Bodaboda ndipo akapoteza mwelekeo na kulivaa Basi uso kwa uso. Vifo 22 ni vingi😥 #RIP#Ajalisasabasi @WizarayaUJnaUC